Likundumbwii
Member
- Jun 21, 2019
- 7
- 5
- Thread starter
- #21
Kweli kaka nimemueleza tuwe pamoja ama la ntapenda nimfungulie biashara imsaidie binafs na mtoto kwanza, nikampa nafas achague biashara amechagua awe anauza mkaa mtaani kwao nimempa mda awaze na biashara nyingineZingatia ushauri huu uwezo ndio umewatenganisha lakini msaidie kuna kila sababu ya kukutana na ww katka muda huu hata likitokea tatizo mbeleni uttakuwa ushanufaika muhimu msaidie anahitaji msaada wako.
