Mwanamke mwenye hivi Vitu Vitatu.... (BBV)

Kila mwanamme anakile anachokipenda kwa mwanamke huwez kumlazimisha apende mwanamke gani?

Kuna wanawake wanavyo vyote hivyo lakini siyo wife material ndoa zao zina migogoro kama yotee

Ukitaka kuoa omba upate mwanamke anayejitambua tu basi
me naona cha muhimu chura! Akili tutatumia yakwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika pumba mwanzo mwisho,

Unachokiona wew kibaya, wapo wanao kiona kizur.

Mm niseme tu kuwa toka nizaliwe hadi nafikia umri wangu huu
Sijapata kuona mwanamke mbaya, au zero brain au hajui mapenz (kupenda) na huku Mungu kampa hekima na maarifa.

Wapenda huwa nikikutana na mwanamke mwenye hekima na maarifa, huwa namtizama mala mbili mbili, wananivutia binadamu waha mm jamani.

Ni Mungu pekee atupae hekima na maarifa.

Matendo yetu maovu ndio yanatutia unajisi hadi tunazid kuwa wabaya, sura mbaya na wengine mamwili makubwa kwa kula sana na bila kuwajibika kwa kufanya kazi zinazo tuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Lakini pia kumbuka ukimwi bado upo.
 
Hapo umedanganya mchana kweupe
Wazazi wana akili lakini mtoto hana kosa la nani?
Mazingira yapi unayozungumzia mpaka mtoto asiwe na akili?Naomba ufafanuzi kwa hilo.
Mungu hausiki. Akili inatokana na
1. Kurithi/ Asili (Wazazi)
2. Mazingira /Makuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…