Mwanamke mwenye aibu

Write your reply...dah Nina tatizo kubwa sana la aibu japo mie sio mwanamke yani naona aibu hata kukoment hapa yan hata nikijamba mwenyewe najionea aibu embu njoo pm unipeushaur watu wasiuone
We huna bwana kha
 
Kuna mtu anataka amuache eti kisa ana aibu
Kama kweli anataka kumuacha mpenzi wake kwa sababu ya aibu, naamini kabisa hakumpenda kwa dhati.

Kuna alilolitafuta na kalipata sasa anatafuta sababu.

Kwa sababu unapoamua kumpenda mtu haimaanishi kwamba hana mapungufu isipokuwa uwe teari kuwa mvumilivu.

Sifa moja wapo ya upendo ni kufunika makosa ( sasa kwa aibu sidhani, hapo kuna mengine ).
 
nimeshangaa kweli arams unawezaje kumuacha mtu because of aibu
 
Kama unaandika kwa kiswahili basi andika kiswahili tu usichanganye mara kiswahili mara kingereza, siyo ujanja ni ujinga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…