Mwanamke mwenye aibu

Nyuma ya aibu yenu huwa mnakuwa na mambo mengi sana
 
Aisee Taifa stars wamenichefua roho sana,mleta mada nitarudi baadae
 
Sisi tunamatatizo ya kufungwa wewe unatatizo LA shy sijui tatizo gani hill?
 
Umenikumbusha X wangu fulani hivi wakati wa kumuingizia dushe alikuwaga anafunika macho yake ni mikono yake, but she was very good girl i ever had!
 
Ukirudi kusoma upya utajua siyo Mimi Bali nimekuta mtu analalamika atamuacha mpenzi wake kisa ana aibu
Ina maana nirudi nisome upya? Naona hutuheshimu baba zako wadogo....Tutakulaani sie.
 
Jitahidi uwe unatumia lugha moja italeta mvuto zaidi katika hadithi zako
 
Write your reply...dah Nina tatizo kubwa sana la aibu japo mie sio mwanamke yani naona aibu hata kukoment hapa yan hata nikijamba mwenyewe najionea aibu embu njoo pm unipeushaur watu wasiuone
 
Me ninae manzi mwenye aibu had bas ila mwanzon nilijua ni mwanzo tu kumbe ni kawaida yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…