nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 573
- 850
Kwa hiyo kakuacha?Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
Sawa subiri waje shy girl.Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
Ukirudi kusoma upya utajua siyo Mimi Bali nimekuta mtu analalamika atamuacha mpenzi wake kisa ana aibuKwa hiyo kakuacha?
Duuuu aibu mwanzoni tu jamaniSasa ukiwa na aibu,yale mambo utayaweza?
soma vizuri plzNaona unaji pigia upatu ..biashara iki nyooka usi sahau kuleta majibu[emoji41]
Matusi ya niniSi uandike kiswahili ama kiingereza..
Mkumbavu kabisa..
HahahahaNgoja nije pm nijihakikishie kama kweli una aibu ila ukinisumbua ukanikataa ntajua we muongo huna aibu umepata wapi ujasiri huo
Taratibu utazoea tuDuuuu aibu mwanzoni tu jamani
AhsanteHama kweli wew ni mwanamke mwenye ujasir ubalikiwe kwa hilo
Hey kingSawa subiri waje shy girl.
ila baadae mwendo mdundo kama sio ww vile.Duuuu aibu mwanzoni tu jamani
Samahani ntaandika vizuri post ijayoFikra sahihi huja kwa lugha asili.. Nimeona umeandika kanakwamba wote tunaelewa