Mwanamke mpumbavu hupiga kelele

Uzi mzuri sana,one of the best thread of the year...
 
Mtu mzima wa afya ya akili hawezi piga kelele
 

Ndoa za siku hizi: Kuzimu kumesimamia ukucha
 
Umeandika Mkeke mreeeeeeeefu, ungeandika kwa ufupi tu, WANAWAKE WAHISHIMU WAUME ZAO.
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Feminism inataka mwanamke awe na hizo sifa. Feminism inampa mwanamke jeuri, kiburi na ukatili ili kumkomoa mwanaume. Feminism inamtaka mwanamke ajilinganishe na mwanamme.
Solution: Tumeamua tusioe, tuwaumie wanawake kwa starehe tu.
NDOA NI WIZI NA UTAPELI
KATAA NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…