Mwanamke mpe mwanaume kiuno

Yaani wewe hata mwandiko wako haufananii na kutingisha tingisha ...unatakiwa ukate uno mpaka na nanii huku ukifinyia kwa ndani.

Wasiwasi wangu Jael tu...huyu hii mada haimuhusu.

Sasa ndio sijui kukata uno jamani acha nijitingishe tu
 
hahahahaaaa....wengine kama chatu kameza ndama....hujuia anajinyoosha au anaukatikia ukuni.....hapo ndipo eat n run huwa ina apply....mtusamehe...nyonga jamani.....
 
hapa ni pwagu na pwaguzi harakati za ukombozi wa kiuno nyigu
 
MUNGU awabariki wadada wote wanaotupa Faraja kipindi Hichi kigum[emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akupe kiuno ili abaki na kiwiri wiri ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…