Mwanamke Mjeshi Kwa Kiwango cha Lami

Afande Madawili ...jina lake limefanya mpaka leo hii kwenye kambi nyingi wanajeshi wakike walio mafunzoni wanaitwq MADAWILI... hasa wale wa JKT kila mwanamke huitwa dawili.
hii ni legacy tayari
 
kipindi mama madawili ni maj.jenerali hao wengine kina lilian kingazi na grace mwakipunda walikuwa ni mabrigedia general
 
Attachments

  • 7424CF6D-ECA9-4CF3-83D5-D3987C04B405.png
    208.2 KB · Views: 9
Afande Madawili ...jina lake limefanya mpaka leo hii kwenye kambi nyingi wanajeshi wakike walio mafunzoni wanaitwq MADAWILI... hasa wale wa JKT kila mwanamke huitwa dawili.
Hahhaha naikumbuka Msange moja hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…