kwani mguu utaufanyia nini mkuu, kuna wanawake wengine miguu mibayaaa, sura mbayaaa, umbile bayaaa, lakini ukienda uwanjani...unaweza kuuza hadi gari, nyumba ukatelekeza na familia alimradi tu umwoe...mguu huo mbona hauna maana, wa kutazama tu huo..au kuna kishimo chochote hapo penye mguu?