very contradicting, hamchelewi kulia ovyo mnadhalilishwa, sasa sijui hapo amekaa hwa hiyari yake au amekalia gundi! natania tuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe, uzuri wa mwanamke unazidi jinsi anavyozidi kuwa half naked na kwa mwanaume is the opposite of that (anavyozidi kuongeza nguo mwilini). Hakika Mwenyezi Mungu aliumba. Tunatakiwa kusifia uumbaji lakini tusiende beyond that na kutenda dhambi
Kizuri chajiuza na kibaya hujitembeza. Hata ukivaa marapurapu madhali bidhaa unayo watu watapangia foleni tu. Kwani wakati wa gwaride unaangalia mavazi?