J Johede Senior Member Joined Jul 5, 2016 Posts 110 Reaction score 68 Jul 17, 2016 #21 Fundi chupi said: Kama haki sawa kwa wote hamna haja kumtunza mwanamke bali tutatunzana. Nikiwa na buku tugawane na yeye akiwa na buku tugawane. Kila mwisho wa mwezi tujue kila mmoja ameingiza sh ngapi. Click to expand... Ur not a real man
Fundi chupi said: Kama haki sawa kwa wote hamna haja kumtunza mwanamke bali tutatunzana. Nikiwa na buku tugawane na yeye akiwa na buku tugawane. Kila mwisho wa mwezi tujue kila mmoja ameingiza sh ngapi. Click to expand... Ur not a real man
Fundi chupi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 342 Reaction score 246 Jul 17, 2016 #22 Johede said: Ur not a real man Click to expand... Si mtu halisi kivipi
J Johede Senior Member Joined Jul 5, 2016 Posts 110 Reaction score 68 Jul 17, 2016 #23 Fundi chupi said: Si mtu halisi kivipi Click to expand... Mwanamume halisi hawez kushindana na mwanamke eti wagawane pesa hata kama yeye ana kipato kidogo kuliko mwanamke bado atachukua jukumu la kumtunza mwanamke
Fundi chupi said: Si mtu halisi kivipi Click to expand... Mwanamume halisi hawez kushindana na mwanamke eti wagawane pesa hata kama yeye ana kipato kidogo kuliko mwanamke bado atachukua jukumu la kumtunza mwanamke
Kwani JF-Expert Member Joined Jan 12, 2016 Posts 455 Reaction score 562 Jul 17, 2016 #24 Huu ujinga haki sawa ya nini sasa