Dah.... Hakuna kitu Kama hicho HAKI SAWA kwenye dunia ya UHALISIA. Wanawake hawapambani na wanaume ila wanapambana na ASILI ya mwanadamu na watashindwa tu 🙂Kama haki sawa kwa wote hamna haja kumtunza mwanamke bali tutatunzana.
Nikiwa na buku tugawane na yeye akiwa na buku tugawane.
Kila mwisho wa mwezi tujue kila mmoja amein
giza sh ngapi.
hakuna kitu kama hicho, kushindwa ni mwiko, hapa ni kubadili fikra tu! mwanamke akisha gundua ndani ya fikra yake kwamba yeye ni tegemezi na aichukie hiyo hali ndani ya moyo wake; nakwambia sky is not a limit! society imemfanya awe dependent na sio nature yake... time will tell, remain blessed my friend!Dah.... Hakuna kitu Kama hicho HAKI SAWA kwenye dunia ya UHALISIA. Wanawake hawapambani na wanaume ila wanapambana na ASILI ya mwanadamu na watashindwa tu 🙂
Dah... Madhara yake mabaya ni makubwa kuliko yale mazuri katika jamii. Mwanamke ni wa kuhudumiwa hili halihitaji hata akili nyingi. Fanya utafiti kidogo tu kwa vinara wa haki sawa ... Wanafanya hivyo kwenye familia zao? Au wanaishia kupiga kelele majukwaani ili wapate Pesa ya saluni? Wanaotekeleza kwa dhati je wamefanikiwa kiasi gani katika sehemu nyanja kuu 4 za maisha yao binafsi??[emoji4]hakuna kitu kama hicho, kushindwa ni mwiko, hapa ni kubadili fikra tu! mwanamke akisha gundua ndani ya fikra yake kwamba yeye ni tegemezi na aichukie hiyo hali ndani ya moyo wake; nakwambia sky is not a limit! society imemfanya awe dependent na sio nature yake... time will tell, remain blessed my friend!
wala tusihangaike kubishana...angalia nchi zilizoendele kwani kuna uzembe kama huu kwa wanawake? sasa hilo ni wimbi la fikra kuamka... na upende usipende litafika nchini kwetu pia. mpaka sasa wasichana wenye uwezo wao wameamua kupata watoto wao wenyewe au kuolewa na wanaume ambao kipato chao sio cha juu sana au sawa, na wengi wao hawachukui hata senti kwa wapenzi wao! HIYO NDIYO DUNIA YA SASA!Dah... Madhara yake mabaya ni makubwa kuliko yale mazuri katika jamii. Mwanamke ni wa kuhudumiwa hili halihitaji hata akili nyingi. Fanya utafiti kidogo tu kwa vinara wa haki sawa ... Wanafanya hivyo kwenye familia zao? Au wanaishia kupiga kelele majukwaani ili wapate Pesa ya saluni? Wanaotekeleza kwa dhati je wamefanikiwa kiasi gani katika sehemu nyanja kuu 4 za maisha yao binafsi??[emoji4]
Ipi safi! Ni halali na haki kabisa mwanamke atunzwe na mwanaume (kama mwanahabari anavyotaka jamii ifanye)na wakati uleule adai usawa.Safi kabisa!
Ipi safi! Ni halali na haki kabisa mwanamke atunzwe na mwanaume (kama mwanahabari anavyotaka jamii ifanye)na wakati uleule adai usawa.
Lakini yawezekana ikawa sawa kwa kuwa mwanamke ndiye, kimaumbile, amepewa majukumu mengi.
NANI KAMA MAMA!
Dah... Ndiyo mnavyopotea..DUNIA YA SASA... single mothers wa kumwaga, watoto kwenye akili nzito ( kapukuz), ndoa za jinsia moja.... Mbona hampiganii sheria ya kujamiana ikawa sawa kwa sawa???...sheria za ndoa nayo,...Hivi hamuwezi mkajiongeza kidogo mkachukua mazuri ya DUNIA YA SASA kisha mkayatupa mbali Yale ya AMRI ILE.... Labda Kama nawe ni mmoja wao, lakini bado nakwambia hii vita mwanaume haimuhusu kabisa ni vita Kati ya mwanamke dhidi ya asili ya dunia... Na kamwe mwanamke hawezi kushinda zaidi ya kupata majeruhi wengi ambao ni mparaganyiko wa mfumo wa kibinadamu na mazingira yake[emoji4]wala tusihangaike kubishana...angalia nchi zilizoendele kwani kuna uzembe kama huu kwa wanawake? sasa hilo ni wimbi la fikra kuamka... na upende usipende litafika nchini kwetu pia. mpaka sasa wasichana wenye uwezo wao wameamua kupata watoto wao wenyewe au kuolewa na wanaume ambao kipato chao sio cha juu sana au sawa, na wengi wao hawachukui hata senti kwa wapenzi wao! HIYO NDIYO DUNIA YA SASA!
Mimi na laani ndoa ya jinsia moja na pia na laani uonevu. ... kijijini kwetu wanawake wajane wako wengi sana na hata mijini pia, bado fumbuzi hujalijua ni kwa sababu ya uonevu? Mwanamke na mwanamume ni viumbe sawa. ...lakini wanawake tuna roho ya MOLA, ya huruma, hapo sasa ndipo mlipotuzidi akili na kuja na kila aina ya mila zinazo mpendelea mwanamume. ...sasa tumeshtuka, kumbe ni upuuzi mtupu. ..kama sisi wanawake tunaweza kuleta kiumbe duniani kwa nini tugeuke omba omba? Kumbuka The weaker are oppressing the stronger, na giant ameamka! barikiwa my friendDah... Ndiyo mnavyopotea..DUNIA YA SASA... single mothers wa kumwaga, watoto kwenye akili nzito ( kapukuz), ndoa za jinsia moja.... Mbona hampiganii sheria ya kujamiana ikawa sawa kwa sawa???...sheria za ndoa nayo,...Hivi hamuwezi mkajiongeza kidogo mkachukua mazuri ya DUNIA YA SASA kisha mkayatupa mbali Yale ya AMRI ILE.... Labda Kama nawe ni mmoja wao, lakini bado nakwambia hii vita mwanaume haimuhusu kabisa ni vita Kati ya mwanamke dhidi ya asili ya dunia... Na kamwe mwanamke hawezi kushinda zaidi ya kupata majeruhi wengi ambao ni mparaganyiko wa mfumo wa kibinadamu na mazingira yake[emoji4]
Haha umeona Kama Mapenz Pesa Matajiri wasingegongewa Tunawagonga sana Kazini yani tena unakuta ye ndo ana cheo kuliko mimiHata ukimtunza kama ni wa kugegedwa atagegedwa tu hata kwa jelo