mkuu tabia sio lazima urithi tuu.umasikini ni laana usiwe mbishi kiasi hicho ikatae hyo hali kama unayo na kesho utanishukuru.kunakitu kinaitwa intimacy unaweza uka absorb mikosi na laana za partner wako japo ww ukiwa clean na mambo yako yakavurugika kila idara.Nimesoma uingereza kwa miaka 7 kuhusu mambo ya human development kwaiyo nakifahamu nnacho kueleza.kama unatabia ya kujisomea vitabu ntakusaidia for free walau upate mwangaza kidogo.Masikini uliowataja hapo ni kama kina Wema,Wolper na wengineo wanaotegemea papuchi zao kama mtaji au?Maana ninavyojua mimi binadamu hurithi tabia kutoka kwa wazazi(influence and adoption).Ukiongelea suala la umasikini kuwa ndio sababu ya mtu kuwa na tabia mbaya nakataa kabisa.Zipo nchi zinazoongoza kwa kuwa na umasikini mkubwa na familia nyingi ni za kimasikini mfano Somalia na Sudan lakini watu wana maadili na sifa zote anazotakiwa kuwa nazo mtu timamu.Umasikini hauwezi ku-justfy tabia ya mtu bali mazingira aliyokulia.I need no povu.
Duh!sina ubaguzi mkuu...unashindwa tuu kukubali reality.hata Mungu ameongea kuwa umaskini ni laana kwa msaada soma(kumbkumb LA torati 28).nisamehe kama nimekukwaza
Kwani Hujaolewa Wewe?Sasa sisi wa Kwamtogole tuolewe na nani jamani?
kila kitu kina kiasi mkuu unapozidisha mambo yakuwa saw a.mfano kwny kutabu cha mithali mfalme Suleiman ana mweleza Mwenyezi Mungu asimpe umaskini asije akaiba na wala utajiri uliozidi asije akamsahau.Mkuu ntumie email yako inbox nikutumie e-books walau hata 6 upate kitu kidogo umasikini ulianzia wapi na kwann.Duh!
Umaskini ni laana, wakati huo huo tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Tuweje sasa mkuu unashauri?
[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Hahahah huyo mwanamke wa hivyo si lazma awe masikini. Tunachanganya mahali pamoja, mwanamke yeyote anaweza fanya hivyo akiwa na asili ya tamaa ya mambo makubwa na wenye tabia hio majority ni malimbukeni. Inategemea pia na malezi mtu aliyokulia, kama alikuwa mtu wa kupewa kila kitu on demand ipo kazi tofauti na wale ambao waliahidiwa nikipata ntakununulia mwanangu wakakua katika spirit hio.Hiyo ilikuwa zamani
Mwanamke maskini hawezi kukupenda kwa dhati na hata kama atakupenda halafu akatokea jamaa ana pesa za kutosha huyo mwanamke hata kama atakuwa hampendi huyo kibosile akawa anakupenda wewe lakini kadri siku zinavyozidi kwenda atazoeshwa hela ambazo hakuwahi kuzishika na upendo kwako automatically utapungua tu ,atakutafutia kisababu kidogo muachane.
kaka unamanisha umasikini upi? wakipato au wafkra......... Wikipato hamna shida mtu akijitambua alikotoka na akiwa namaono yake ya mbele. ila umasikini wafkra ni baraa ata mkata nyasi anambeba tu ambaye hana chochote driver bodaboda houseboy muunza duka wote wenye kipato duni wanamchezea kisa umasikini wafkraHabar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Samahani mkuu si wote, uliyempata hakukupenda tu, wako maskini wanaoheshimu ndoa zao na wakaheshimika.
mtaolewa na mim wa kwamtogole mwenzenuSasa sisi wa Kwamtogole tuolewe na nani jamani?
MhhhUmejuaje wakati wewe sio masikini na haujakulia katika maisha ya kmasikini?