Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Kinachovunja uaminifu kikubwa ni kujifanya urafiki kati na mwanamke na mwanaume. Wanaume utumia mwanya huu hapa uwe wa kishua au mtaani haswa maofisi . Mtego huu ni ngumu sana wanawake kuukwepwa mwisho wa huachia. Hakikaza kidume ufanya kama masihara hila kadri zinavyoenda mwanamke huachia. Hapo hamna kipato wala nini
 
Engineer? La saba huishia kuolewa na manyoka wale wanakoroga zege. 4m4 huolewa na mwalimu wa primary
Kweli kabisa

Ww engineer mzima ukaoe msichana ambaye hata elimu ya sekondari hana kama sio utahira huo ni nini

Mwanzoni mtaenda sawa ila kadri muda utakavyozidi kusonga tofauti za kimtazamo zitazidi kuonekana
 
[emoji121]
MKUU,

WEKA PICHA KWANZA.
 
Mkuu jaribu kutumia lugha ya ustaarabu ,muelekeze taratibu atakuelewa

Na hiyo ndio sababu ya kuleta mjadala na kwenye mjadala siku zote watu hamuwezi kuwa na mawazo sawa kila mtu lazima atakuwa na maono yake.
Fyuuuu mda huo sina km limekutachi mfundishe/mueleweshe wewe alaaa
 
Unakosea sana mkuu...

Huu utafiti ni feki kabisa ...
 
Huu utafiti uliufanya kwa namna gani?
Binafsi naona haupo sahihi kwasababu huwezi kufanya mahusiano na mwanamke mmoja au wawili according to tabia zao ukaja ku generalize wanawake wote, unakosea sana jaribu kuingiza hekima katika tafiti zako ili usikwaze ama kuwashushia hadhi baadhi ya wanawake waliotoka kwenye familia za aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…