Of course me ni mtu fulani still but kwenye ukweli inabidi kuweka bayanaMkuu nakuonaga wewe uko mtu Fulani...yaani Hadi wewe unawaza haya? Mie siko huko mkuu.. I mean namaanisha brain na power within
Hata sijakuelewa. Unaposema nguvu unamaanisha nini kwann kwa sasa wanawake wamenyimwa nguvu gani na wanaume wamepewa zipi?!
Unapoamua kuwa na ajenda nyoosha maelezo acha kuzunguka zunguka......
Kwasasa mimi ninachokiona mlipopewa tu nafasi za kuwezeshwa kuwa viongozi au kupewa nyadhifa kwenye taasisi mnakengeuka na kuacha majukumu yenu na kuwa busy na mambo yasiyo na tija kwa jamii. Kwa kifupi kuwawezesha ndiko kumewafelisha mara mbili zaidi maana familia zinazorota na ninyi mnazorota pia....
Wewe unachoongelea ni uwezo ambao mwanadamu anao lakini hajautumia wote. Nimefuatilia sana wanawake ni watu wa kujikuza ila siyo uwezo wa ziada unaoongelea. Mwanamke ukimsifia amempika samaki vizuri yeye anajiona ni bora kuliko aliyemvua. Tena ataenda mbali na kuona hamna anayeweza kumpika zaidi yake kwenye hii dunia.Mie nimekuja kurealize wanawake tuna nguvu zaidi kuliko hizo mnazosemaga! Sijui nisemeje! Ni zaidi ya hapo
Hhwaa mie namaanisha mtoto wa kike ukimlea vyema atakuja kuwa na power kuliko men! Means nismart zaidiWewe unachoongelea ni uwezo ambao mwanadamu anao lakini hajautumia wote. Nimefuatilia sana wanawake ni watu wa kujikuza ila siyo uwezo wa ziada unaoongelea. Mwanamke ukimsifia amempika samaki vizuri yeye anajiona ni bora kuliko aliyemvua. Tena ataenda mbali na kuona hamna anayeweza kumpika zaidi yake kwenye hii dunia.
Big noHata sijakuelewa. Unaposema nguvu unamaanisha nini kwann kwa sasa wanawake wamenyimwa nguvu gani na wanaume wamepewa zipi?!
Unapoamua kuwa na ajenda nyoosha maelezo acha kuzunguka zunguka......
Kwasasa mimi ninachokiona mlipopewa tu nafasi za kuwezeshwa kuwa viongozi au kupewa nyadhifa kwenye taasisi mnakengeuka na kuacha majukumu yenu na kuwa busy na mambo yasiyo na tija kwa jamii. Kwa kifupi kuwawezesha ndiko kumewafelisha mara mbili zaidi maana familia zinazorota na ninyi mnazorota pia....
Wanakuwa na stress hawatombwi vizuri na nyumbani hawana mwanaumeBig no
Taasisi ikisimamiwa na mwanamke hasa mwenye mume inakuwa na utendaji bora cos matumizi ya hovyo hakuna, rushwa haipiti, ubadhirifu haukubali, ni msikivu na mfariji, anaheshimu na kuwapa nafasi watu wake kutenda au kushauri mfano ni Samia, ndalichako, kairuki nk
Hakikosa mme na ni mtendaji atatenda vema basi nafasi ya kuharibu ni kubwa
Ngoja nikuelekeze kitu dada yangu,huwezi ukalinganisha nguvu za mwanamke na mwanaume dizaini hiyo unayofanya. Hapo ni sawa na kulinganisha nguvu za simba na binadamu wakati ni viumbe wawili tofauti. Utofauti wetu na simba upo wapi,ni kwamba kila mtu ana eneo lake katika ecosystem hivyo ni vizuri kumfanyia ulinganishi na simba wenzake wa jinsia yake kwa kuwa wanapeform the same roles. Tukija pia kwa mwanadamu ni kweli wote tuko sawa mbele ya Mwenyezi Mungu lakini huyo huyo Mungu katupangia majukumu tofauti ambayo Dunia ya utandawazi inatuaminisha kila mtu anaweza kuyafanya kitu ambacho sicho. Kwa kifupi mwanamke ana nguvu katika eneo lake na mwanaume vivyo hivyoHhwaa mie namaanisha mtoto wa kike ukimlea vyema atakuja kuwa na power kuliko men! Means nismart zaidi
Ngoja nikuelekeze kitu dada yangu,huwezi ukalinganisha nguvu za mwanamke na mwanaume dizaini hiyo unayofanya. Hapo ni sawa na kulinganisha nguvu za simba na binadamu wakati ni viumbe wawili tofauti. Utofauti wetu na simba upo wapi,ni kwamba kila mtu ana eneo lake katika ecosystem hivyo ni vizuri kumfanyia ulinganishi na simba wenzake wa jinsia yake kwa kuwa wanapeform the same roles. Tukija pia kwa mwanadamu ni kweli wote tuko sawa mbele ya Mwenyezi Mungu lakini huyo huyo Mungu katupangia majukumu tofauti ambayo Dunia ya utandawazi inatuaminisha kila mtu anaweza kuyafanya kitu ambacho sicho. Kwa kifupi mwanamke ana nguvu katika eneo lake na mwanaume vivyo hivyo
Mie nimekuja kurealize wanawake tuna nguvu zaidi kuliko hizo mnazosemaga! Sijui nisemeje! Ni zaidi ya hapo
Mimi ni mwanaume lakini nakiri, Mwanamke amepewa Nguvu nyingi ili awe msaidizi kwa Mwanaume.
Kama isingekuwa kupunguzwa nguvu kupitia maandiko yanayoaminika ni ya Mungu, Mwanamke angekuwa kiumbe hatari zaidi.
Haya mambo ya haki sawa, mara nyingi huwa yanahusishwa na mpango wa shetani kwa wanaoamini. Kwa sababu kama mwanamke akipewa nafasi ya kutumia uwezo wake wote alionao, dunia itafeli.
Na ndio chanzo cha mabalaa Mengi ya kimahusiano. Ndoa hazidumu, wanawake wanazaa nje ya ndoa na mengine. Kwa sababu wanawake wanafika mahala hawaoni sababu ya kuwa chini ya utawala na bado wanafanya ambayo angetakiwa kufanya mwanaume.
Nakuunga mkono, lakini nakusihi uzitumie nguvu hizi kumsaidia Mwanaume. Sio kumuendesha. Wangari Maathai.
Jana kwenye kipindi cha Women Matters Dr Mwaka alisema Mwanamke ni mtawala hivyo hataki haingiliwi kwenye utawala wake wa mapenzi.
Mimi najua kwa asili mwanamke ni mtawala nakubali hili ikiwa mimi ni mume na baba wa familia hivyo nakubaliana na Dr Mwaka kwa upande wa mapenzi lakini naongeza kuwa huyo mwanamke ni mtawala wa familia au nyumba kwa sababu:
1. Anajua bajeti ya familia hata kama hapewi fursa ya kuiandaa
2. Ndiye mtekelezaji wa bajeti ya familia.
3. Anajua structure ya familia na nyumba kwa ujumla(nibishe).
4. Anajua majukumu yake na muda wa kazi (rejea Mithali 30, mwanamke bora ni yule anayeamka kabla ya wote na kuandaa mahitaji.
5. Ajajua kupanga vipaumbele vya familia na yeye akiwemo isipokuwa hajui vipaumbele vya baba na ndiye maana akiandaa vipaumbele hataji mahitaji ya baba isipokuwa yeye na familia kwa ujumla ila kwa uchache kwa baba na ndiyo maana nawambia wanaume kila pesa unayoipata hakikisha 30% umekula wewe binafsi na 70%kwa familia kwani ukipeleka yote hutapata hata ya kunywa bia ila atakupa ya matumizi bila kujali inatosha au haitoshi (kwa wazoefu wa ndoa wanajua)
6. Ni watunza hazina wazuri na ndiyo maana usipompa kutunza anakuwa fisadi. Au mwizi na akitunza hakika ametunza
7. Wanajali familia na ndiyo maana bosi anajali watumishi wake.
8. Hataki kuingiliwa kwenye utawala wake ikiwemo kuingiliwa katika majukumu hayo juu na ndiyo maana akiingiliwa kinawaka ikiwa mamamkwe au wifi au kimada hakubali na ndiyo sifa ya mtawala.
Zingine karibu uongezee.
Kila kwenye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke pembeni ambaye ndiyo mtawala(administrator) kwani unaweza kuwa na shirika lkn yupo mtawala wa yote au tumuite CEO au DG hivyo tuwashukuru na tuwapongeze sana, hata kama hujaoa na ukawa unafanikiwa basi katibu au meneja wako ni mwanamke au ni mwanaume mwenye mke hivyo utaendelea au utafanikiwa lkn ujue aliye na mke atafanikiwa kabla yako, si lazima pesa inaweza kuwa mipango au second income.
Watu watauliza vipi mapadre? Ndiyo hawana maendeleo binafsi na ni wafujaji wa mali zao binafsi. Isipokuwa za umma kwa kuwa yeye si mwamuzi bali mtawala na hategemei hiyo kazi kuishi au kufanikiwa bali kwa mazoea na inafanikiwa hakikutana na watu wenye watawala nyumbani na ndiyo maana mkurugenzi wa fedha TEC ni mlei ila vatican ni Askofu kwakuwa si kwa manufaa ya nchi wala mtu bali kanisa! Ndiyo maana hatuwezi kuwa na Rais bachelor.
Kongole wanawake endeeleni kutawala ili dunia iwe salama. Mwanamke akishindwa kuwa mtawala mkamilifu na familia inayumba yaani akishindwa kufutata hizo sababu juu.
Well quoted!!Neno la Mungu linasema:
" (Mungu) Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako., kwa utungu utazaa watoto., na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala." MWANZO 3:16.
Lakini nataka mjue yaa kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu". 1WAKORINTHO 11:3.
MUMEO ATAKUTAWALA!
KICHWA CHA MWANAMKE NI MWANAMUME! ... these are facts from God Almighty.
Mwanamke yuko duniani kumsaidia mwanaume.
"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu (Adamu) awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye." MWANZO 2:18
Rais ni mtawala ( unabisha?Mkuu, nadhani ingesomeka kiasili ni MSAIDIZI inge sound vizuri zaidi.
Kwa mtazamo, hizo sifa zote zinazotajwa anazo mwanamke haziko kwa ajili ya kutawala. Ziko kwa ajili ya kusaidia.