Kwa asili pia ni vyake na ndiyo maana ukifiwa mke unatafuta mwenye nyumba mwingineWananifurahishaga tu pale ambapo kila kitu chenu anasema chake, utasikia mtoto wangu, nyumba yangu n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ni nani ?! Samahani mtoa mada, wewe ni mjinga.Jana kwenye kipindi cha Women Matters Dr Mwaka alisema Mwanamke ni mtawala hivyo hataki haingiliwi kwenye utawala wake wa mapenzi.
Mimi najua kwa asili mwanamke ni mtawala nakubali hili ikiwa mimi ni mume na baba wa familia hivyo nakubaliana na Dr Mwaka kwa upande wa mapenzi lakini naongeza kuwa huyo mwanamke ni mtawala wa familia au nyumba kwa sababu:
1. Anajua bajeti ya familia hata kama hapewi fursa ya kuiandaa
2. Ndiye mtekelezaji wa bajeti ya familia.
3. Anajua structure ya familia na nyumba kwa ujumla(nibishe).
4. Anajua majukumu yake na muda wa kazi (rejea Mithali 30, mwanamke bora ni yule anayeamka kabla ya wote na kuandaa mahitaji.
5. Ajajua kupanga vipaumbele vya familia na yeye akiwemo isipokuwa hajui vipaumbele vya baba na ndiye maana akiandaa vipaumbele hataji mahitaji ya baba isipokuwa yeye na familia kwa ujumla ila kwa uchache kwa baba na ndiyo maana nawambia wanaume kila pesa unayoipata hakikisha 30% umekula wewe binafsi na 70%kwa familia kwani ukipeleka yote hutapata hata ya kunywa bia ila atakupa ya matumizi bila kujali inatosha au haitoshi (kwa wazoefu wa ndoa wanajua)
6. Ni watunza hazina wazuri na ndiyo maana usipompa kutunza anakuwa fisadi. Au mwizi na akitunza hakika ametunza
7. Wanajali familia na ndiyo maana bosi anajali watumishi wake.
8. Hataki kuingiliwa kwenye utawala wake ikiwemo kuingiliwa katika majukumu hayo juu na ndiyo maana akiingiliwa kinawaka ikiwa mamamkwe au wifi au kimada hakubali na ndiyo sifa ya mtawala.
Zingine karibu uongezee.
Kila kwenye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke pembeni ambaye ndiyo mtawala(administrator) kwani unaweza kuwa na shirika lkn yupo mtawala wa yote au tumuite CEO au DG hivyo tuwashukuru na tuwapongeze sana, hata kama hujaoa na ukawa unafanikiwa basi katibu au meneja wako ni mwanamke au ni mwanaume mwenye mke hivyo utaendelea au utafanikiwa lkn ujue aliye na mke atafanikiwa kabla yako, si lazima pesa inaweza kuwa mipango au second income.
Watu watauliza vipi mapadre? Ndiyo hawana maendeleo binafsi na ni wafujaji wa mali zao binafsi. Isipokuwa za umma kwa kuwa yeye si mwamuzi bali mtawala na hategemei hiyo kazi kuishi au kufanikiwa bali kwa mazoea na inafanikiwa hakikutana na watu wenye watawala nyumbani na ndiyo maana mkurugenzi wa fedha TEC ni mlei ila vatican ni Askofu kwakuwa si kwa manufaa ya nchi wala mtu bali kanisa! Ndiyo maana hatuwezi kuwa na Rais bachelor.
Kongole wanawake endeeleni kutawala ili dunia iwe salama. Mwanamke akishindwa kuwa mtawala mkamilifu na familia inayumba yaani akishindwa kufutata hizo sababu juu.
Sasa hizi sio sifa za mtawala, ni sifa za mtu mhaini au mwenye hila na tamaa.Nawajua wa mara pia na wamakonde. Hoja si kabila au taaboos hoja hapa ni asili yaan tangu kuumbwa ndivyo ilivyo ikikimbuka Eva ndiye alimpa tunda adamu yaan mwenye wa wajibu wa kumlisha ni mwanamke hata kisa cha Samson aliyemnywesha kinywaji n mwanamke. Tulipewa na Mungu na msaidizi yaan wewe mmliki yeye mtendaji ndiyo maana nilimuota CEO, DG na Administrator
Ni mtawala? Kenu wapi? Utakuwa Makonde wewe? Huku Mara siyo hivyo.
Nguvu zenu ni ukiwa na tako na shape nzuri tu sasa ukiwa kimbau mbau hizo nguvu ni zipi labda za kusonga ugaliMie nimekuja kurealize wanawake tuna nguvu zaidi kuliko hizo mnazosemaga! Sijui nisemeje! Ni zaidi ya hapo
Ukisema neno mtawala ndipo unapoharibu sasa..... Unajua wanaume hatutaki kiti cha mamlaka kikaliwe na mtu mwingine isipokuwa sisi.... Kwann unasema neno utawala?!Kueleza majukumu ya mtu ni ubatili? Biblia haisomwi kwa mistari kuelewa uhalali wa jambo bali isome yote inasimamia nn katika andiko husika. Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake" kauli inamaanisha upumbavu gani?
Upumbavu wa mwanamke ni kutoelewa wajibu wa mtawala kwa familia au kutokujikamilisha kwenye nafasi yako hivyo utakuwa mtawala mbovu na mtawala mbovu huondolewa au kukumbusha ili abadilike
Mbona hauzitaji hizo nguvu, au unamaanisha mambo ya tunguli na limbwata maana hiyo nayo ni sehemu ya asili ya mwanamke wa kiafrika...Ila walokole mnakuwaga Kama machizi smtmz...Nani kaongelea nguvu za mapenzi hapa?? Kwahiyi wewe umekaa kujihami sisi tunawaangamiza tu nyie[emoji57][emoji57][emoji57]!
Fungua ubongo wako wewe...mie sikua huko...mie nimesema zile nguvu tu asili!
But of course, ndicho nilichomwambia kuwa ametumia vibaya neno MTAWALA.Hapa naona tamko "Mtawala" limetumika vibaya, tamko sahihi ni "Msimamizi".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi umeona nimesema neno "mapenzi". Watu TULIOOKOLEWA NA BWANA YESU sio machizi, tuna akili zetu timamu. Na ninakuhakikishia kama Mungu aishivyo, na wewe usipookoka UTAANGAMIA kwenye jehanamu ya moto wa milele.
JESUS IS LORD!
Dah!Ukitaka biashara yako ipae, wapake Mafuta kwa Mgongo wa Chupa Wanawake, ila ukiwaponda tu basi imeisha! Rejea kisa cha Mwinjuma Muumin kuanguka kimuziki. Kuna wimbo aliutoa akiwaponda wanawake Manung'ayembe, muziki wake ukaishia hapo.
Hawanaga akili hawa, tena akiwa na Matako ndio shida mara mia
Mbona hauzitaji hizo nguvu, au unamaanisha mambo ya tunguli na limbwata maana hiyo nayo ni sehemu ya asili ya mwanamke wa kiafrika...
Mkuu nakuonaga wewe uko mtu Fulani...yaani Hadi wewe unawaza haya? Mie siko huko mkuu.. I mean namaanisha brain na power withinNguvu zenu ni ukiwa na tako na shape nzuri tu sasa ukiwa kimbau mbau hizo nguvu ni zipi labda za kusonga ugali
Hata sijakuelewa. Unaposema nguvu unamaanisha nini kwann kwa sasa wanawake wamenyimwa nguvu gani na wanaume wamepewa zipi?![emoji16][emoji16][emoji16]! Sijui nikuambieje best!...apart zile za kusema wanawake sisi ni multipurpose mie naamini ni zaidi ya hapo!
Shida moja tumezaliwa kwenye bara la kumfanya mwanamke ajihisi yeye sio kitu..thts y tuko level hizo..lakini naamini 100%mtoto wa kike akilelewa in a positive way.atakuja kuwa na ngv zaidi kuliko tulizonazo sasa!
Binafsi naamini hivyo!