Ni asili ipi hiyo unamaanisha bwashee.?
Kwa mujibu wa maandiko (kwa waaminio) huu ni ubatili, rejea katika kitabu cha 1Wakorintho 11:3-12
Lazima uzitambue nguvu hizo unazo na unazimudu katika kuujenga utawala wako uliobora na wenye mafanikioSijui niiandikaje...nadhan watafiti wa mwili wa mwanamke wanawwza ielezea...! Me naamin hivyo....tuna nguvu zaidi ambazo wataalam wazielezee..sio zle za umatipapasi..hapana...!Kama sio basi naamini baadhi wanazo wanamiliki nguvu hizo!
Mie nimekuja kurealize wanawake tuna nguvu zaidi kuliko hizo mnazosemaga! Sijui nisemeje! Ni zaidi ya hapo
Hamna nguvu zaidi ya zile ambazo shetani hupitia kwenu kutuangamiza sisi. Mimi nina Yesu utanipatia wapi. Shetani alishashindwa na Yesu msalabani. Yesu aliyeshinda yumo ndani yangu nami ndani yake.
Lazima uzitambue nguvu hizo unazo na unazimudu katika kuujenga utawala wako uliobora na wenye mafanikio
Jspo wapo wanawake wengi wameolewa lkn ni watawala wabovu ambao kwa msingi watafukuzwa kazi na wasipofukuzwa kiongozi wa taasisi ataondoa care kwa mtawala na ndipo malalamiko yanakoanza
Ila walokole mnakuwaga Kama machizi smtmz...Nani kaongelea nguvu za mapenzi hapa?? Kwahiyi wewe umekaa kujihami sisi tunawaangamiza tu nyie[emoji57][emoji57][emoji57]!
Fungua ubongo wako wewe...mie sikua huko...mie nimesema zile nguvu tu asili!
Wapi umeona nimesema neno "mapenzi". Watu TULIOOKOLEWA NA BWANA YESU sio machizi, tuna akili zetu timamu. Na ninakuhakikishia kama Mungu aishivyo, na wewe usipookoka UTAANGAMIA kwenye jehanamu ya moto wa milele.
JESUS IS LORD!
Huyo mtoa mada kashindwa kutofautisha MAHABA NA UTAWALAOne way traffic... dmkali
Ni mtawala? Kenu wapi? Utakuwa Makonde wewe? Huku Mara siyo hivyo.
Nakubaliana na weweMwaka victims wake ni wanawake, akiongea kinyume na wanachopenda kusikia wanawake litakuwa ndio anguko la biashara yake!
Ila walokole mnakuwaga Kama machizi smtmz...Nani kaongelea nguvu za mapenzi hapa?? Kwahiyi wewe umekaa kujihami sisi tunawaangamiza tu nyie😏😏😏!
Fungua ubongo wako wewe...mie sikua huko...mie nimesema zile nguvu tu asili!
Hii tabia ya kumpandisha mwanamke juu itakuja kuwapa kile mnachotaka.
Hakuna nasema hakuna popote katika andiko la asili au la msomi yeyote linaloonyesha utawala/uongozi wa mwanamke.
Ila kuna secret agenda ndiyo inafanya kazi na wengine wanipa promo bila kujijua ili kumpaisha mwanamke, ukiangalia kuanzia pale Beijing Forums nguvu kubwa ilianzia hapo na inaendelea kukita mizizi.!
Hahhahaa nakuskilizAchana nae huyo alishakaririshwa na mchungaji gani huko sijui huwezi mbandua hapo.
Na wewe unafanya ya namba 5 apo...Mie nimekuja kurealize wanawake tuna nguvu zaidi kuliko hizo mnazosemaga! Sijui nisemeje! Ni zaidi ya hapo
KabisaNa wewe unafanya ya namba 5 apo...