Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, Mar 19, 2012.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Habari wana JF.....

  Hopefully it was a lovely weekend na all your Loved ones na wale woote wa karibu wapo salama salimini.
  Topic ya leo yahusu pale Mwanamke unapo jiona kua ni Mzuri na ni Mrembo lakini hata siku moja hutongozwi…. Ukiwa na bahati siku hio utaishia kukonyezwa na one of the guys ambae mwapishana popote pale! Lol Lakini cha ajabu rafiki zako woote hadi wale ambao waona kama wawazidi uzuri wanatongozwa na kupata wanaume (Wawe wa maana ama Lah!) ila wewe upo hapo hapo HUTONGOZWI na hasa waishia kujikimu mwenyewe mahitaji ya Mwili. Unaishia tu kulalama…. "JAMANI Tatizo nini?"


  Kwa mtazamo wangu hizi zaweza kua baadhi ya sababu ya kutotongozwa…..  Level ya Mwanamke mwenyewe

  Katika haya mambo it is good ku face some of the facts kua watu tumepishana levels of statuses katika kua mwanamke umejiweka wa juu saana (Iwe kweli ama uwongo kua wee ni wajuu, kawaida ama chini); Ina chukua nafasi kubwa sana kwa the type of guys ambao watakua drawn na kutaka kukutongoza. That is to say kama muonekano wako uko so expensive; na mahala ambazo waishi, washinda ni mahala guys uwezo wao ni wachini…. Ni kazi saana for guys to be able to approach you.  Attitude ya Mwanamke mwenyewe

  Kuna watu wana attitude jamani… Utapenda/Utachukia or Whatever. Wakuta mtu ana attitude ambayo inapelekea kupose negative results kwa muonekano hasa kwa wanaume ambao hukutana nao siku zoote katika mazingira yake yoote ambao unaweza wezesha Kutongozwa. Hio salamu yako ni ya gharama hakuna mfano…. Mtu akikusalimu kujibu ni shida, ama hata wewe tu kumuanza mtu ili umsalim kazi ipo; You don't care…. You don't bother…. And you do not give a damn. On top of that ndio wale ambao ukimuangalia mtu…. Huyo mtu anatamani kioo kiwepo mbele yake ajitazame upya kama there is anything wrong na muonekano wake hadi anajisikia vibaya (hata akiwa na wazo la kukutongoza anaweza ahirisha na kuishia kuuliza "Saa ngapi dada"); Wanawake wa hivi wapo wengi…. Ila kuna wale anafanya exceptions kutabasamu, kuangalia vizuri, kupunguza swagger za attitude (hasa kwa wale ambao anaona ni Level zake kweli…) BUT Mhusika hana hizo…. NO exceptions kabisa!  Age ya Mwanamke mwenyewe

  Yawezekana Umri umeenda saana….. As much as naamini wanawake wengi ambao ni watu wazima huona saana kazi kukubali ukweli kua sasa ni watu wazima; yawezekana kabisa kua hicho ndio kigezo. Wewe wajiona upo young na watakiwa utongozwe mara kwa mara….. But kwa bahati mbaya wanaume walo kuzunguka Respect you….. Kwa muonekano na assumption zao kua huwezi penda tongozwa.


  Marked Territory ya Mwanamke mwenyewe

  Kuna wanaume ukitoka nao ni balaa…. Count your self OFF the list ya watu ambao wanatongozwa; Yaani reputation ya jamaa ni balaa… Iwe ni nzuri or mbaya whatever the case ila tu ni wazi kua the guy akiwa na Mwanamke….. No body ever dares kusogea karibu na huyo mwanamke hata kumtania. For habari zikifika mziki wake ni mkubwa; Mara nyingi such a dude ndio wale ambao hata akikuacha…. It takes time people to believe kweli umeachwa. Hii inahusisha pia wanandoa…. Thou sio lazima kua ukiwa umevaa pete ya ndoa ndio hutatongoza…. To other guys hata haijalishi as long as wee as a lady don't mind….

  Nafasi ya Mwanamke mwenyewe…

  Hapa niko kufikiria Queen Elizabeth wakati yupo young ni nani walikua wana dare kumtongoza….:A S 39: OR Asha Rose Migiro…. Kama kuna wanaume wanamtongoza tongoza…. lol


  Wana JF wake kwa waume.... naomba michango yenu iwe kukosoa, Ongeza, Comment, Kukubali ama Kukataliana na Ujumbe ili tuweze fundishana na kueleweshana na kutatua hili tatizo kwa wanawake ambao hatutongozwi...
  :wink2:


  Pamoja Saana.

  AshaDii.

   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Pale kwenye umri sina hakika, I find women older than me attractive!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Gurta THANK YOU... But hata hivo hio ya age ni relative term... Kwa sisi wanawake ambao tuko 50... Do you find us attractive?
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Shem.....nakusalimu.

  Ama baada ya salamu naomba nikuulize kumbe kutongozwa ni deal eh? Ole wake mtu anitongozee mai mama Matesha wangu.....

  Vingine vunavyochangia mwanamke kutotongozwa:(Source: ODM)

  1. Akiwa mzuri sana (wanaume tunaogopa kupigwa vibuti ati) kuna ile hulka ya wanaume kuona mrembo kama huyu si size yangu. Sasa kila mtu akiona we si size yake ndo basi tena. Watu watakuwa wanafaidi kwa macho tu.
  2. Akiwa mbaya sana (Yaani mwanamke ana sura kama ngumi ya mwizi) afu basi hata kujifanyia make ups hajui au hataki. Afu ukute mchafu kama choo cha stendi..../ nani atakutongoza?
  3. Maringo / majivuno kwa sana
  4. Utajiri... Kama una vijisenti vyako kama vya Chenge, ni wanaume wachache sana wenye guts za kukutokea.
  5. Kichwa / Shule.... Yaani kama umepiga elimu zako kadhaa kichwani, tena zenye heshima ya haja... vidume huwa havipendi "kutawaliwa".

  Sijui niendelee?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  My mama is so damn beautiful mpaka namuonea wivu baba..... Dingi langu linajua kuchagua aisee.....

  Age aint nothing shem.... its just a number.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Shem this is a WONDERFUL Post.... Endelea bana mbona watubania? lol

  Nimependa saana ya 4 & 5 it is soo rite! Kwa hio kumbe shem wanawake hao design tano ndio hukushinda kutongoza? I see.....
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  ODM!!!!! You are one crazy man! Dah!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Dah, raha ya kutongozwa uwe bado kigori, umri ukienda afu bado unatongozwa tongozwa basi kuna tatizo mahali fulani.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  i'll be back......loh!! :wink2:
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  AshaDii
  Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
  1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
  2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
  3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
  4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
  5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
  Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
  alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
  Na mpaka sasa bado yuko single.....
  Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Umeniita? Labeka!

  Hehehe... mi sijashindwa kutongoza bana. Nshatongoza siku nyingi niliyepaswa kumtongoza. Na ameshatongozeka na akakubali kutongozeka. Yupo kajikalia nyumbani, nikitaka nagusa bega tu.
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Heshima yako big sisy,asante kwa useful sred,ckujua km kuna wanawake hawatongozwagi mpaka wanalalamika!sema tu huwa natatizika na wale wadada wanaojitongozesha,tena unakuta mwanaume mwenyewe yuko na wa ubavu wake,sasa cjui na hawa ndio wale wale wasiotongozwa au vp!
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umechanganyikiwa....!
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Hebu patia ODM namba ya simu ya huyo malaika. Nshachoka kuishi kimaskini bana....:violin:
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Sikumbuki kama leo nimepata salamu yako. (Sori ADI kwa hii ofutopiki)
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ukiwa old bado watongozwa tongozwa... Definately something is seriously wrong.... Thou kutongozwa once in a while ipo.... Don't you think mfano Bishanga wetu apate bahati ya kua karibu na Graca Michelle wa Madiba atataka arushe bahati yake? lol
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  hahaha.... Hapo hamna jinsi.... Or else wanaume wetu hawa wa Kibongo itakua imekula kwako! lol

  Hakuna Jinsi kabisaaa!! Hata hivo dada kama huyo kunakua na vijiwe vyake ambavo anaweza pata wa kumfaa, thou inaonesha yupo juu mno.... Hio kwa kweli ni tatizo kwa wanaume wengi (Kama kweli ni MWANAUME); For a true man atataka awe in control.. Na anajua hapo hatoweza kua in control.....lol
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Goodmorning my very swty babu!hw is our lovely bibi?nipe tu ushauri na namna ya kupambana na mafuriko ya matongozo babu! ur mjukuu Canta loves u very much!
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hakikisha you come back! lol

  Cantalisia hii post akisoma Rejao naona itamtia tu HASIRA....lol.... Ataona kumbe ile pete mkononi bado tu watongozwa? hahaha.... Kuna wanawake hawatongozwi mdogo wangu hadi inampa homa... believe me!

  Sasa hao ambao wanajitongozesha hadi kwa mwanaume yuko na ubavu wake hapo hapo ina maana kua ndio wale hawana soni kabisa, lazima watakua wanatongozwa for ndio wale ambao wamejirahisisha; na hakuna ambacho wanaume hupenda kama mwanamke alojirahisisha....
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Mtu yeyote atakayekutongoza, ni PM. Ntakupa ile bakora yangu ukamcharaze.

  Kutongozwa sunna, (Source: ADI)
   
Loading...