Nadhani unanong'ona. Ongeza sauti kidogo.MMU ndo lango la JF....
Wanawake ndio wanaongoza kutungiwa post....!!!
How are you sir?have a great dayAkili zao unazifahamu vizuri mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] cheuc wao hawataki kuanzisha sirediMMU ndo lango la JF....
Wanawake ndio wanaongoza kutungiwa post....!!!
Hawa mademu wa kikazi hiki Kwan wanakataa bhac yan n wanapitika kirahisi km beki line ya dotmundSawa. Usidanganyike pia kuwa atachomoa michomo yote.
Kuna beki wa Liverpool maarufu VVD, walisema hapitiki. Alikuja mjapan mmoja akampiga msamba. Kaja Rashford kamlambisha nyasi.
Nachotaka kusema atachomoa michomo kadhaa, ila lazima anase kwa mmoja.