Mwanamke kutongoza ni vibaya?

Mwanamke kutongoza ni vibaya?

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,018
Nimekuwa najiuliza hili swali bila majibu!Mwanamke anayepata ujasili wa kumtongoza mwanaume anakuwa amependa/ni malaya/anajigonga/anajiamini/n.k!.??
Kuna jamaa yangu ana mtazamo kuwa mwanamke wa hivyo hadumu kwenye uhusiano!
WADAU MNA MTAZAMO GANI?
 
Ni mtazamo tu!

Kwa dunia hii ya sayansi ya Teknohama,

Mambo yanaenda sawa japokuwa mwanaume akitongozwa anaona kama kashushiwa hadhi yake ya kuwa na dushelele..

Ile kasumba kwamba mwanaume anatakiwa kuwa forward kwa kila jambo ndiyo inayotusumbua sisi watu weusi katika dunia mpya...

Hii theory ya wanawake kutongoza wanaume kwa watu weupe naona inachukuliwa tofauti sana! haina udhalilishaji kama sisi.. Hata kama couples zikiachana, basi mara nyingi huwa ni amani amani.. bongo sasa, utakoma kutongoza!
 
Sijawahi Tongozwa na mwanamke. Natamani itokee hivyo
 
Hivi wenyeji wa jamvi hili wamebatizwa upya wote? Niitieni mwanasiasa wangu chama nimtongoze.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa najiuliza hili swali bila majibu!Mwanamke anayepata ujasili wa kumtongoza mwanaume anakuwa amependa/ni malaya/anajigonga/anajiamini/n.k!.??
Kuna jamaa yangu ana mtazamo kuwa mwanamke wa hivyo hadumu kwenye uhusiano!
WADAU MNA MTAZAMO GANI?

Mi mke wangu ndo alintongoza sasa mwaka wa 7 mke na mume, ananiheshimu kama mume, nikimkumbushia anacheka kwa aibu anasema hajui ujasirri huo aliupata wapi, anasema alinipenda akahofia akiwa mkimya atanikosa akaamua kufunguka
 
Hivi wenyeji wa jamvi hili wamebatizwa upya wote? Niitieni mwanasiasa wangu chama nimtongoze.
Mamndenyi wa kwangu nipo majukumu ya kazi mengi ziara ndio hizo tena kila kukicha kukagua maendeleo ya miradi ya barabara; nishati; kilimo chama kinatekeleza ilani zake za uchaguzi!! kila
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom