Mwanamke kutokuwa na hisia

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
7,332
Reaction score
9,542
Habarini za asubuhi,

Hivi kuna mtu yeyote imeshawahi mkuta una girl wako alafu hana hisia kabisa?

Alafu mnamipango ya kufunga ndoa,tuongee ukweli kwetu wanaume,tunaweza funga ndoa na mtu wa hivyo??

Na hii inaweza ikawa inasababishwa na nini??

Kuna girls wanatia huruma sana.
 
huyo ana bwana mwingine ndiyo maana hana hisia na wewe hisia zako ni ndoa tu.. Kwa hiyo usitegemee
 
Hisia anazo ila she is not into you
 
Inawezekana yafuatayo:

Alikuwa traumatized akiwa mdogo.....

ana memories mbaya zinazohusina na sex,mfano mara ya kwanza huenda hakuandaliwa, aliumia.... etc

FGM (kutahiriwa)

Ama alipovunja ungo alifundishwa sex is a bad thing so imemuingia akilini kuwa ni jambo baya ambalo lipo tu kwa ajili ya watoto.

Jitahidi kuwa karibu nae, especially kama umeshamsoma she is a good girl na unatarajia kuwa na future na yeye. Be gentle, be loving and teach her from the beginning.
 
Shida sasa inakuja...jamaa huenda akawa wa kanda ya ziwa....haahaa...ubabeubabe...... Joking.
 
Pima kwanza upendo wake kwako. Ukijiridhisha kama anakupenda then mtaftie Dawa huenda hilo ni tatizo labda kuna mambo anafanya yanayopelekea hivyo au ana jini mahaba maana wanawake wengi wapo hivyo. Ndo mana wakati mwingine huwa na visirani vya rejareja..
 
Wengi hamjaelewa uzi vizuri nadhani,achana na ishu ya upendo...wengi hamjakutana na hivyo vitu..a girl hana hisia kabisa za kufanya mapenzi,yani hana hamu...Na sio ishu ya upendo
 
Atleast umenielewa mkuu,hilo tatizo sidhani kama linatibika,it is very hard...
 
Hospital unakuta tatizo nao hawalioni.
 
Kwahiyo nyie wenye hisia haya yote hamjakutana nayo?!
 
Wengi hamjaelewa uzi vizuri nadhani,achana na ishu ya upendo...wengi hamjakutana na hivyo vitu..a girl hana hisia kabisa za kufanya mapenzi,yani hana hamu...Na sio ishu ya upendo
Mnunulie zile chewing gum za PK kama pakiti 3 akitafuta mwezi mzima mambo yatakuwa fresh kbs
 
Atleast umenielewa mkuu,hilo tatizo sidhani kama linatibika,it is very hard...
Give it time. Umekuwa nae mda gani?

Umeshajaribu kuongea nae kuhusu jambo hilo?
 
Kuna wanawake hisia zao zipo kwenye wallet hata uweke kwenye Tundu dogo hashtuki.
 
Kimbia huna miguu?huyo walisha mkongoroa limebaki limzinga tu nyuki na asali vilisha toweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…