Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Kwa hiyo unajipangiaga kabisa kua leo lazima nitongoze haswaaSamahani, una umri gani? Hebu fanya mazoezi ya kutongoza mkuu, unaulizaje maswali haya JF? tongoza kila unapopata fursa, hata Kama hutopiga kazi, itakupa experience Sana.
Sidhani Kama namaliza mwezi sijatongoza kazi mpya aisee, siku nikiamua hasa kupiga kazi, mara chache mno nahangaika