Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Picha jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] toka pepo
Picha jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] toka pepo
Na wewe pi ni shabiki wa simba au ni Shunie tu? Au nitakua nimedandia treni kwa mbele Sakayo?Mie nakupenda tuu, shabiki wa simba
Mimi sijambo kabisaaa, Mungu ni mwema kwa kweli!!Niko Poa Sakayo namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye hali yako?
Huo mshipa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] nikikukamata nakuchapa nao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi nusu inawezekana kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi aingize nusu tu
HahahaMshipa wako[emoji23]
Hakika mkuu siunajua sisi wahenga acha tutoe uzoefu kidogo kwa hawa upcomingMkuu naona unatema madini kwa Serengeti Boys.
Ha ha ha...!
Nimevuta picha kashika mshipa anakutandika nao mgongoni kama fimboWoiiiii mchape huyo huyo niliwambia me ni shemeji yako heshima itawale
We Cheka tuu aki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani mi najiita ndingoMmmh
Mie siamini aki, sasa kwa nini ujiite ndingo
mkuu umeshindwa kujiongeza huyo manzi ataki kukukataa mazima xo angalia utaratibu mwingineHabari zenu wakuu,
Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.
Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
Usinfanyie hivyoHuyo dada wangu jamani lazima nisifie au unataka nikukatae nikikutaa na yeye anakukataa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Yaani ka vile najitusi jamanii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uchocheziMshipa wako[emoji23]
Inapendeza...malegend lazima wawafunde vijana.Hakika mkuu siunajua sisi wahenga acha tutoe uzoefu kidogo kwa hawa upcoming
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakupenda pia shabiki wa yanga
Unaona inavyochekesha eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee ninecheka sana
Inabudi uone live uiguse kabisaWeka picha