BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,231
Anapenda kupiga push-ups pia.. . ..
Kama Maasai dada unajua kukitumi japo kidogo hakika ni bora kuwa nacho kuliko kukikosa. . .. . .ukipata na pepper spray unakuwa sawa zaidi
Umenikumbusha
Pepper spray bongo zapatikana wapi??
Nakumbuka kuwahi kuona Tanganyika Arms kama kumbukumbu yangu iko sahihi. . . . .
weka mbali na watoto
cha ulinzi tucha kukatia katia
Anapenda kupiga push-ups pia.. . ..
Kama Maasai dada unajua kukitumi japo kidogo hakika ni bora kuwa nacho kuliko kukikosa. . .. . .ukipata na pepper spray unakuwa sawa zaidi
Ukipata dada mwenye mafunzo yote haya ya kujihami na akakubali kukupa mkataba wa uwekezaji moyoni kwake anza kuandika will mapema just in case ukimess up mbele ya safari usiingie mbinguni bila kuacha neno la wosia duniani!
Tote around your personal defender, Mace ® Hot Pink Pepper Spray. Pepper spray contains oleoresin capsicum, a natural element derived from cayenne peppers to create an intense burning to the skin, eyes and throat that thwarts an attack. This hot little accessory also contains an invisible UV dye that marks an assailant and aids in identification. Don't walk alone without this hot pink companion.
FEATURES:
- Formula: Mace ® Pepper spray
- Weight: 18 g.
- Dimensions: Approximately 4.25" H x 1" W x 1.25" D
- Spray pattern: Stream
- Range: 8'-12'
- Number of bursts: 10-20
- Flip-top safety cap avoids accidental spraying
- Finger grip dispenser
- Key chain and belt clip
- Intended for personal use
Silaha pesa, kisu mzigo
nyani ngabu kwa bongoland unaipata wap hiiMambo iko kwa pepper spray bana....
mkuu unatakiwa kujilindaNavyojua mwanamke unakata vya jikoni tu, na jikoni kuna visu vyake.
Unless uniambie kuna vitu vingine vya kukata. Siwaelewi kabisa, kaanza huyu https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/881483-yani-wanaume-jamani.html, kaja mwingine na https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/881956-sex-toys-kwa-wanawake-na-wanaume.html, halafu na wewe saivi unaongelea visu. Tumewakosea nini?
nyani ngabu kwa bongoland unaipata wap hii
kwa kuwa kaz ni moja ya hvyo visu i mean akibeba mwanaume au mwanamke ndo maana nikauliza hvyo hicho hapo juu ni changu nakitumia muda sasaSio mbaya
Kwanza vibaka wamezidi siku hizi
(kama utaweza kumthibiti nacho, ila angalia usije ishia jengo la serikali tu..)
Hivyo utembee nacho kwa kukilinda na si kwa kuwa wanaume wanabeba