Mwanamke kutaka mahali mil500 ni sawa?

Mwanamke kutaka mahali mil500 ni sawa?

Something is Wrong somewhere.
Kuacha kubaya sana.
She was not in her normal state of mind.
kabisaaaa..yeye mwenyew kiasi hcho anaishia kukisoma kwenye magazeti ama ktk platform mbalimbali
 
Huko umeenda mbali, mimi ikizid tuu 2.5M sitoi.. siwezi nunua k kwa bei mbaya hivyo
 
Mwanamke wa hivyo maana yake nikwamba hataki kuolewa,
 
Mbona wachumba zake wanakula bure na kuwahonga juu
Ndio hapo sasa, yaani mademu wengine hazipo kabisa, yaani mume wa maisha wanampiga mzinga wa mahari alafu wapenzi tu wa kawaida wao wanapewa wamege tu

Nyie viumbe nyie
 
Ni mtaji tosha kwa maskini kwa matajiri wakubwa hiyo ni pesa ya kumnunulia mchumba Pete ya uchumba ya Almasi tupu na chain za kuvaa za madini ghali.tulushaongea sana humu kuwa kila MTU aoe saizi yake.Huyo mtoto wa kike unakuta wazazi wake wamempa biashara na maghorofa ulaya na marekani na anamiliki ndege za abiria na visima vya mafuta kwake milioni 500 ni nini?tatizo hapa maskini ambao hawajawahi shika hata milioni 10 wataka dezo ndio wanajitia ohh anajiuza.unaijua hadhi ya huyo mwanamke?
huyo mtt aliepewa mtaji huo unamuongelea diva yupi??? huyu anaetembea na viben ten au kuna mwingne kajitokeza???
 
Siwezi kutoa mil.500 yangu hata kama sina halafu nikakutane na majimaji ya songea, bora nikute bukavu ya Congo..
 
Ni mtaji tosha kwa maskini kwa matajiri wakubwa hiyo ni pesa ya kumnunulia mchumba Pete ya uchumba ya Almasi tupu na chain za kuvaa za madini ghali.tulushaongea sana humu kuwa kila MTU aoe saizi yake.Huyo mtoto wa kike unakuta wazazi wake wamempa biashara na maghorofa ulaya na marekani na anamiliki ndege za abiria na visima vya mafuta kwake milioni 500 ni nini?tatizo hapa maskini ambao hawajawahi shika hata milioni 10 wataka dezo ndio wanajitia ohh anajiuza.unaijua hadhi ya huyo mwanamke?
Daah hongera mkuu kwa povu hili m1 tu mi inanitoa jasho
 
Kina Zito na Gk wamejigongea kisela sasa hv kaiona inaelekea kuexpire bora haiachie bure.
 
Kama yeye mwenyewe ameridhia ni sawa kabisa Ila awe mpyaaa hajaguswa
Hata kama hajaguswa, mil.500 for what, ananini cha zaid na wenzake, amekua malaika au amekua nuru ya kutuangazia gizan....shit
 
Ni mtaji tosha kwa maskini kwa matajiri wakubwa hiyo ni pesa ya kumnunulia mchumba Pete ya uchumba ya Almasi tupu na chain za kuvaa za madini ghali.tulushaongea sana humu kuwa kila MTU aoe saizi yake.Huyo mtoto wa kike unakuta wazazi wake wamempa biashara na maghorofa ulaya na marekani na anamiliki ndege za abiria na visima vya mafuta kwake milioni 500 ni nini?tatizo hapa maskini ambao hawajawahi shika hata milioni 10 wataka dezo ndio wanajitia ohh anajiuza.unaijua hadhi ya huyo mwanamke?
Hadhi ya mwanamke ni papuchi hakuna zaidi heshima ya mwanaume ni mashine tu hakuna zaidi vinginevyo vyote ni ziada pesa nyumba gari miradi ni ziada
 
Back
Top Bottom