Mwanamke kuota usiku

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Wadau kuna demu wangu mmoja anaota usiku kwa sauti kubwa sana
Kuna wakati anaota analia,analalama huyo,anakuja kuniua!!
Nisaidieni jamani huyu demu ana tatizo gani!!!
 
Kumbe ni Demu.
Angekuwa Mkeo ningekupa ushauri
 
Ana msingi WA mawazo huyo. Ngoja aanze kuota anataka kukuua wewe ndo urudi hapa.
 
Ana msingi WA mawazo huyo. Ngoja aanze kuota anataka kukuua wewe ndo urudi hapa.

Mtu anameno yamejaa mdomoni
Kanyoa hadi papuchi inaupele huyo ni mtoto kweli??
 
Kwa vile aneota ni demu mmoja tu kati ya wengi ulionao, ungelijaribu kwanza kupata ushauri kutoka kwa hao mademu zako wengine ili kuona wanaweza kukusaidia vipi. maybe they have once experienced in the same way. Kama hukufanikiwa ndo ungelikuja hapa ukumbini kwa ajili ya kupata msaada zaidi. Nahisi kama umefanya haraka kukimbilia hapa.
 
Geuza kitanda kielekee kusini magharibi kwa chumba. Then atumie mikono kushuka kitandani n sio miguu
 
Ulivyomuuliza alikujibu nini? Coz mi nshawahi kukutana na madem wa namna hiyo...na nilivyowauliza walinieleza kila kitu
 
Ulivyomuuliza alikujibu nini? Coz mi nshawahi kukutana na madem wa namna hiyo...na nilivyowauliza walinieleza kila kitu

Nikimuuliza anasema eti hakumbuki alichokua anaota
 
Kama anaota anafanya mapenzi, atakuwa ana spiritual husband.
 
Nikimuuliza anasema eti hakumbuki alichokua anaota
Anakudanganya huyo na sababu ya hayo makororo yote anayajua...we mkomalie na mtishie asipokuambia unamwacha ataeleza vyote!!
Ni hayo majina yao wanayorithi toka kwa mabibi zao ndo yanawaletea shida...Just ask ur gel ukweli.
 
Ila komaa coz wanakuwa wagumu sana kuusema ukweli hadi ulazimishe kwelikweli with strong force...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…