Mwanamke kumwambia mwanaume amempenda je ni kujidhalilisha

ni halali tu kwa kizazi hiki asife na hisia zake...

ajilipue na awe tayar kwa majibu yoyote

ila nashangaa huyu dada kashindwa kumtega jamaa kabisa looo

Dada hebu funguka kidogo angemtegaje na ilikuwa ndio mara ya kwanza kukutana naye??
 
Mimi mwanamke akiniambia ananipenda nitamdharau sana.

Kwanini umdharau kaka na yeye kakupenda?? Kwani yeye hakuwaona wengine kwanini wewe??
Kwanini usichukulie in a positive way kuwa uko special mpaka mwanamke kakueleza hisia zake??
 
sio kujidhalilisha......ila mbona juzi tu mtu alianzisha uzi kama huu!!!!!?? kwa nini usisearch kwanza kabla hujaanzisha uzi wako? kurudia rudia alichosema mwenzio sio vizur
 
Hakuna tatizo lolote sema tu gals hamjiamini
Naombeni kuuliza hili maana imetokea kwa rafiki yangu amempenda kijana alimuona kwa mara ya kwanza.

Sasa ikawa anashindwa kumwambia sababu tuu ni sababu ya hofu yule mwanaume atamchukuliaje?

Akaondoka anasononeka sana tuu kashindwa kueleza hisia zake kwa huyo mwanaume.

Je ni sawa na haki mwanamke kueleza hisia zake au ni kujidhalilisha?
 
Jirani zangu wao walioana mwanamme hana kazi na ni form four tuu elimu yake na alipata division four hakujiendeleza ila alimpenda mdada msomi na anafanya kazi kampuni kubwa tuu hapa mjini,, na wanaishi kwa amani mpaka leo na ni miaka 8 tangu wameoana na wana watoto watatu sasa..
Nadhani hii fikra ya mwanamme tuu ndiye anatakiwa awe amesoma na awe na hela inabidi tuiondoe.. Cha msingi ni upendo..

Ni wachache sana wanaojitambua
 
Toka enzi za mababu wanawake wanapenda nao kama wewe unavyopenda na kumtamkia dada wawatu kuwa unampenda hivyo basi kama wewe dada umemzimia mtu mchane waziwazi maana ukizidi kuwa kimya ndo utazidi sononesha hisia zako na raha ya mapenzi kuambiana ukweli

Ni kweli kabisaa
 
Naombeni kuuliza hili maana imetokea kwa rafiki yangu amempenda kijana alimuona kwa mara ya kwanza.

Sasa ikawa anashindwa kumwambia sababu tuu ni sababu ya hofu yule mwanaume atamchukuliaje?

Akaondoka anasononeka sana tuu kashindwa kueleza hisia zake kwa huyo mwanaume.

Je ni sawa na haki mwanamke kueleza hisia zake au ni kujidhalilisha?

Ni kawaida tu mbona , aeleze hisia zake kwa ampendaye tena kwa kujiamini...
.
.
Mimi jambo kama hilo ku be approached na mwanamke limenitokea mara nyingi tu na nilichukulia kawaida, mpaka sasa umri wangu ni early twenties na nimesha wahi ku aprochiwa na 4girls..
Sio ile ya kujipitisha pitisha hapana ni ile ya kutalk real , uso kwa uso.
.
.
Unajua kitu ukikiangalia kwa mrengo hasi (-ve) ..
Siku zote hakita kuwa chema..

Jaribuni kuangalia na kupima mambo kwa upana na kuangalia positivity zaidi.. Ili ku ballance.
 
Back
Top Bottom