Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,751
ndio hvyo mkuu, ukicheka na kima utavuna mabua.Ha ha ha! Ubabe huu sasa.
ndio hvyo mkuu, ukicheka na kima utavuna mabua.Ha ha ha! Ubabe huu sasa.
na wewe msifie mwanamke mwenzie, mwambie mzuri sna tena mwambie unasikitika kwanini uliwahi kuoaHabari wakuu,mimi nina swali hivi ni sahihi kweli kwa mwanamke ambae ameolewa kumsifia mwanamme mbele ya mme wake. Mfano nampenda kaka flani,kaka yule mzuri.
Nimekusoma!ndio hvyo mkuu, ukicheka na kima utavuna mabua.
Ah ah ah ahHaha au umempakiza ktk corola inapita vogii anakwambia mwanaume huyo kapita.yaan talaka tu hapo bora ht amsifie mwanaume uzur klk amsifie mwenye hela ilhal we wa kipato ch kawaida.
Kumi wengi watatu wanatoshaAh ah ah et haina mashiko. Ngoja watu wazima waje watakuambia hich nikisemacho ni kweli kabisa. Yanatokea tena sana tu kama huamin fanya research kama watu kumi hiv au 15
na wewe msifie mwanamke mwenzie, mwambie mzuri sna tena mwambie unasikitika kwanini uliwahi kuoa