Mwanamke kulia njaa ni ujinga wake tuu.

Mwanaume kamili hawezi changanywa na mbinu mfu kama hizo!!!
 
Umenitukana ****! sijapenda
Magufuli alegeza tu aisee, sii kwa stress hizi zinazomwagwa mitandaoni kwa watu wasiojuana.

BTW sii lazima kupendezwa na kila kitu, hata mimi napendezwa na uwepo wa nisivyovipenda.
 
Yaani nimekupenda bureee!. Nahisi mtoa mada angekiwa ke wanaume wangeisoma namba.
 
Magufuli alegeza tu aisee, sii kwa stress hizi zinazomwagwa mitandaoni kwa watu wasiojuana.

BTW sii lazima kupendezwa na kila kitu, hata mimi napendezwa na uwepo wa nisivyovipenda.
Kumbe una stress, the word stress does not exist in my dictionary anyway, let alone in association with Magufuli!
 
Mmoja kaja facebook kani request nika accept kaanza kuniomba hela nikastuka screen shots hzo
 
Nitaendelea kulia njaa hadi Mungu atakaponisikia na kuniinua, hakuna kitu naogopa kama kula pesa ya mwanaume nisiyekua na mpango nae, huo ni wizi. Wacha nijitunze, Mungu atanipa ila sio kwa njia hizo........

Thx sana.
Kama ulicho andika hapo ni kwel kutoka moyoni mwako...ubarikiwe saana
 
Wengine bado tuna utu! Siwezi kula hela ya mwanaume zaidi ya ofa ya soda kama sio mpenzi wangu. Mambo ya kuombaomba hela wengine hatuwezi. Mimi ata nikiishiwa vocha asiponitumia ntabaki hivyo mpaka nipate hela.
Na nikiona mwanaume sio mtoaji (nna njia ya kumpiama) naachana nae.
 
Kumbe una stress, the word stress does not exist in my dictionary anyway, let alone in association with Magufuli!
Hivi nilichopost kinahusiana vipi na wewe?
Wacha nitulie tu,...Mkuu we liendeleze, mimi nakupimia tu.
 
Kama script ya tamthilia vile.., kufikirika kwingi kuliko hualisia!
Kwa mfano wewe huwa unachunwa na wanawake wangapi kwa mwezi na huwa unatoa shilingi ngapi kwa kila mwanamke?!
Ni vyema kufikiri kidogo kabla ya kuandika..
 
Nitaendelea kulia njaa hadi Mungu atakaponisikia na kuniinua, hakuna kitu naogopa kama kula pesa ya mwanaume nisiyekua na mpango nae, huo ni wizi. Wacha nijitunze, Mungu atanipa ila sio kwa njia hizo........

Thx sana.
Naomba niwe rafki yako!
 
Kama script ya tamthilia vile.., kufikirika kwingi kuliko hualisia!
Kwa mfano wewe huwa unachunwa na wanawake wangapi kwa mwezi na huwa unatoa shilingi ngapi kwa kila mwanamke?!
Ni vyema kufikiri kidogo kabla ya kuandika..
Mini si chunwi wala sijawahi kuhonga bali huwa natoa pesa kidogo kama shukrani kwa mtu kutoa time yake kwaajili yangu.
 
Hili fala kweli, waanaume 100 wanatoka sayari ya Mars?? Hata machangu wanajiuza barabarani kuna siku wanatoka kapa..!
Hebu tuwaheshimu viumbe hawa wazuri... Ni wake zetu.. dada zetu..
Nawapenda sana wanawake wote..
 
Naombea dada yako au ndugu yako wa karibu apitie maandishi yako na aufanyie kazi ushauri wako halafu uje utupe mrejesho.
 
Hakuna kinacholiwa bure mkuu,ila kumbuka kunamabazazi yatakupiga peky kazi yao ni kugawa HIV tu

acha kupotosha wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…