Mwanamke kulia njaa kajitakia.

true, mwanamke kulia njaa ni ufala uliotukuka hali ya kuwa papuchi mzuri anayo...
 
Kiukweli sijaelewa dhumuni la mtoa mada, ni anatoa ushauri, anakemea, au anatangaza biashara??

could someone help me plz.
 
Reactions: ipy
Kulikuwa hamna haja ya kupretend bora hata angesema nilimuuliza mwanamke fulani kuhusu hiyo ishu ila sio kufungua Identity ya kike
Nadhani amefanya vema kusema ukweli alichokuwa akikifanya ili apate msaada sawia. Katushushia hadhi wanaume. Usikute huwa anavaa ushungi wakati mwingine kwenda mitaa fulanifulani kufanya huo utafiti. It's dangerous.
 
Nadhani amefanya vema kusema ukweli alichokuwa akikifanya ili apate msaada sawia. Katushushia hadhi wanaume. Usikute huwa anavaa ushungi wakati mwingine kwenda mitaa fulanifulani kufanya huo utafiti. It's dangerous.
Lol, spare my ribs,
 
Reactions: ipy
Mkuu kama umeumizwa na mwanamke kula pini endelea na maisha. Sikufahamu kuwa umefanya utafiti pia wa kujua idadi ya walio mabikra! Kumbuka unachojua wewe sio lazima ndio kiwe ukweli wa mambo, waweza fikiri unajua kumbe hujui. Fanya utafiti wa kisayansi kwanza, au tupe rejea ya tafiti mojawapo.
 
Kwahiyo mkuu unawashauri wajiuzee??

Kumbuka kwamba hata dada yako ni mwanamke anza kumuelimisha kwanza dada kuhusu hii biashara halafu rudisha marejesho kapiga pesa ngapi??
 
Maada zingine Bana, kusahau kama anaowasema, mama Zake wadogo wapo. Shangazi Zake wadogo na Wakubwa wamo, Dada Zake wamo, mama mzazi wake yumo, waombe msamaha wanawake wote na mkeo pia, akili ya tui alaaaaa,,!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…