Mwanamke kulia njaa kajitakia.

Peleka chuki zako kuzimu huko. Sisi tunataka tuelimishe wenzetu wala si kutetea ushenzi.
Life matter et!

Umeona nifanyacho hakina maana basi we pita ivi.. Hakuna haja ya kuzozana na mm
Punguza jazba, chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Reactions: ipy

Mkuu mbona mdomo wako unanuka mipasho sana

Hizi hua ni tabia za kike
ndomaana ulitumia Id ya kike kumbe uliona hiyo jinsia inakufaa

All in all wewe utakua na gene za watoto wa DAVID CAMEROON.
 
Naweza kusema naheshimu mawazo ya mtu ila we huna maana. Nakuacha tuu
 
Unajichanganya sasa mkuu, mbona unashawishi wanawake wapate fedha za jinsi hiyo ambazo unajua hazidumu. Kitu kilicho kushawishi kuwa inawezekana wakapiga pesa ndefu si ni baada ya kuona umefanikisha isipokuwa ulipotakiwa uonekane ukaona kikwazo ni suruali. Nini lilikuwa lengo lako haswa!
 
Reactions: ipy
Lengo ni ushuhuda tuu wala hakuna asiejua wanawake ni watu wa aina gani.
Kama hawajiuzi basi tungepata bikra nyingi sana. Mimi ninajua wanawake wote ni malaya sema wanatofautiana tuu namna ya kuuza miili yao wengine kazini, vyouni, mitandaoni, mtaani na wale wanaopiga kambi kabisa sehemu maalumu kwa hiyo biashara.
Usaliti umekua mkubwa sana watu mkiambiwa kwel mnaanza kupiga bla bla tuu.
 
Ni kweli, sasa kama huyu naona kujifanya mwanamke anachuma pesa za wanaume kwa hiyo anaona ikiwa yeye kafanikiwa kwa nini wanawake wenyewe wasiweze. Duuu dunia imekwisha mwanangu!
Yaani hali tete!
 
Mkuu mbona mdomo wako unanuka mipasho sana

Hizi hua ni tabia za kike
ndomaana ulitumia Id ya kike kumbe uliona hiyo jinsia inakufaa

All in all wewe utakua na gene za watoto wa DAVID CAMEROON.
 
Dady umemaliza, maybe alijua atasifiwa. Mtoto wa kiume kutamani kuwa mwanamke ni dalili mbaya sana. Achukue tu tahadhari mapema na sio kupanik na kutukana tukana hovyo.
 
Peleka chuki zako kuzimu huko. Sisi tunataka tuelimishe wenzetu wala si kutetea ushenzi.
Life matter et!

Umeona nifanyacho hakina maana basi we pita ivi.. Hakuna haja ya kuzozana na mm
Hatuwezi kupita hivi maana hili linatuhusu wote, maana tukikuacha utakuja kutuharibia watoto wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…