Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,429
- 25,148
Yuko busy na assignments. Tulia tu muache mwenzio asome.
Mpe tu hilo neno[emoji1787][emoji1787], liachieNi ndoa ya kanisani au ile sogea tukae?
Itakuwa ya mkeka hiyoNi ndoa ya kanisani au ile sogea tukae?
Auntieee [emoji1787][emoji1787] ebu acha kumdanganyaYuko busy na assignments. Tulia tu muache mwenzio asome.
Aaah wapi!! Ubusy hutofautiana kati ya mtu na mtu. Kuna wale ambao wao wapo tu shule ilimradi wapate vyeti. Na kuna wale wasongo.Kati ya kundi lenye ratiba nyepesi vyuoni ni waalimu. Pia hata wanaosomea udokta wakiwa kwenye penzi shatashata muda unapatikana mwingi tu,wakichokana ubusy unaibuka ghafla
Hapana auntie simdanganyi. Kawaida tu mbona.Auntieee [emoji1787][emoji1787] ebu acha kumdanganya
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
Kuna msaidizi wa jamaa huko chuoni, yeye ajiongeze tu kulko kusubiri kuumizwa moyo. [emoji3][emoji3]Wadau ipo hivi.