Mwanamke kueleza hisia zake za mapenzi maoni na mtazamo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke kueleza hisia zake za mapenzi maoni na mtazamo...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mohammed Shossi, Jan 28, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  HAbari za asubuhi wanaJF.

  Leo nimetafakari sana kuhusu mwanamke kueleza hisia zake za mapenzi kwa mwanaume anaempenda. Ningependa maoni yenu na michango yenu juu ya hili kwani mimi binafsi sio tatizo mwanamke kuonyesha hisia zake za mapenzi juu ya mwanaume anaempenda.

  Dhana na imani potofu kwa vijana wengi huamini kwamba mvulana ndiye anayewasilisha hisia za mapenzi kwa msichana ampendae,hivyo ikiwa msichana akimfuata mvulana na kumweleza jinsi anavyofeel vijana husema msichana huyo hajatulia.Tofauti na mitazamo hii ukweli ni kwamba msichana anahaki ya kumweleza mvulana hisia zake za kimapenzi(ilimradi wasiikaribie zinaa).Tukumbuke MTUME wetu alipendwa na mwanamke ambaye hadi akaamua kumpa MTUME WETU MUHAMMAD(S.A.W) pesa ya mahari ilimradi aje amuoe.Hii inatufudisha kwamba msichana kuelezea hisia za mapenzi kwa mvulana inaweza kujenga taswira ya mapenzi ya dhati na kuongeza uaminifu katika ndoa pindi watakapo funga ndoa.Huu ni mtazamo wangu jamani ntapenda kama mkinikosoa kwani hakuna binadamu asiyekosea ,kama nimekosea basi naomba mnisamehe kwa kunirekebisha.

  Tahadhari.

  Kama una maoni changia na sio kutoa kasfa kwa wanawake au dini isiyokuwa yako. Kama hupendi kutukaniwa au kudhihakiwa dada,mama,shangazi na binamu yako hali kadhalika usitukane na kudhihaki dada,mama na shangazi wa wenzako. Hali kadhalika kama unaona dini yako ni bora basi na mwenzio anaona yake bora pia.
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Wanawake wa siku wala sio waoga...
  Akikukualika tu dina ujue umekwisha, ukija kutahamaki umesha kuwa mpenzi wake na anaanza kukupangia masharti yake
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Umenichekesha sana nakumbuka kuna mdada mmoja mcheshi sana nilimtania nitakualika dinner siku moja akaniambia najua janja yako kwahiyo nialike dinner na breakfast lolz
   
 4. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watoto wa dot.com siku huzi wanalonga na wewe bila uoga
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Bado wapo wengine wanakuwa na soni wanahisi wakikuelezea utawaona mambo fulani
   
 6. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie nimejionea mwenyewe hili! Kuna dada mmoja tena january hii alinipigia simu na kuniuliza nipo wapi, baada ya mimi kumwuliza yeye ni nani akataja jina lake na kuniomba kuonana na mimi. Nilimjulisha nilipo na alipokuja, alionyesha alikuwa anaona aibu sana kuniambia shida yake, lakini akaniomba aniambie kwa sms tukiwa tunapata soda, sms ilipo ingia kwenye simu yangu, akasema ananipenda sana tangu siku nyingi, ameshindwa kuvumilia na akaomba nimkubalie ombi lake na yeye siyo malaya! Nikamwambia anipe muda, na tangu siku hiyo, kila siku anapiga simu kuulizia jibu lake, anasema yupo tayari tukapime pamoja kama simwamini kiafya! Hivyo wasichana wa sasa wanauwezo wa kuweka hisia zao wazi kwa wawapendao!
   
 7. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hao ni wa bushi wewe acha kabisa vinaongea vitoto siku hizi tena vinaanza kijanja tu buti lako bomba kweli, oohh tshirt imekaa poa, ooo umenyoa vizuri kweli ukiongeza neno tu kwisha habari yako ushaingia line
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mpende akupendae mkapime muoane sio mpime halafu mzini..................
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kina Rose, Preta, Shosti na Firstlady tunataka mchango wenu.................
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmmh!
  Mi siwezi, nitakufa nalo rohoni. Lol!
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hii nayo yataka moyo,ila inategemea na mazingira unamoishi,kwa sehemu nyingine utaonekana kimeo ila kwingine poa tu.
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NAKUPENDA.wil u mar me?
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sikuona apa .bt m ready told u ...NAKUPENDA..WL U MAR ME?
   
 14. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi kumtokea mtu siwezi, na kwanza sijui kama nimewahi kumpenda mtu ambaye hajaniambia kuwa ananipenda. Ila kueleza feelings zangu kwa mpenzi wangu ni mara nyingi tu sababu naamini ana haki ya kujua feelings zangu kwake.
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwenye movie labda! labda nionyeshe ishara sio kumtamkia
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh wanaume wenyewwe awa?
  NAKWAMBIA USO WA MBUZI PAAHH KAKA NAKUPENDA UNASEMAJE SASA?
  NGONO APANA KM UNANIFILI TULIANZISHE APO BADAYE MPANGO KAMILI KM HAUNIFIL ATA KDG NAMBIE NISEPE ..UNASEMAJE?

  dah lazima aende akawasimulie wenzake...nimekutana na mzimu km demu mwana umeniiimbisha ivi iv bila projecta kitu live...hahha hahh!
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Dah.........I wish I was 17 again!
   
 18. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi pia ishanitokea, dahhhha!!!!!, nikavuta pumzi nikaomba muda.....................
   
 19. loveness love

  loveness love Senior Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli sie hua waoga ila kupenda tunapenda kweli kama miye ninavyo mpenda mfungwa Ivu....a yani basitu

  Hivi ulijuaje ukatoa hiii mzee? unajua umeniaidia ee.
   
 20. loveness love

  loveness love Senior Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfungwa potezeeni kiaina
   
Loading...