Yap anaweza asiwe na ushahidi unaoonekana kwa watu, Lakini kumbuka akili za binadamu zinatofautiana, katika situation hiyo mwingine anaweza hata kumdhuru huyo msichana na akajitolea litakalokuwa na liwe. Hapo sijui kama suala la kuulizana kama ana ushahidi litakuwa na nafasi wakati binti atakuwa amekwishadhurika tayari. Point ipo palepale, katika maisha ya kawaida ukitaka ishi na watu vizuri huna budi kuheshimu makubaliano uliyoyaridhia kwa nafsi yako.
Akidai sawa na asipodai pia sawa...
Kaka mimi ninaona jamaa katumia jia nzuri sana. Unajua hivi nilifikiria sana je angetumia njia ambayo sio na kumdhuru huyo dada. Tungekua tunaongea mengine. Isitoshe huyo dada alijificha kwenye kivuli cha dini jamaa akamwamini sana.Sio ushabiki , kuna makubaliano gani ya kua wapenzi yakahusisha wazazi , hiyo ya wapi hiyo, kwanza cpati picha amewezaje kwenda kwa wazazi wa binti
Kaka mimi ninaona jamaa katumia jia nzuri sana. Unajua hivi nilifikiria sana je angetumia njia ambayo sio na kumdhuru huyo dada. Tungekua tunaongea mengine. Isitoshe huyo dada alijificha kwenye kivuli cha dini jamaa akamwamini sana.
Nadhani alitumia busara sana.
Hata kama ameshituka mapema, kuacha ghafla tu na kumpa simu mwanaume mwingine apige na kusema ni mpenzi wake hii unaiwekaje?huyo hakupenda bali alijaribu kutoa pesa ili ampate dada kimapenzi, wa hivyo inawezzekana dada wa watu kashtuka mapema
huyo hakupenda bali alijaribu kutoa pesa ili ampate dada kimapenzi, wa hivyo inawezzekana dada wa watu kashtuka mapema
siku nyingine hata rudia tena kucheza na hisia za watu
kwani makubaliano ya ,mapenzi nayo ni mkataba wa kudumu, wewe mwenyewe huwez waza hicho allichofanya huyo mwanaume mwenzenu
Waliandikishiana?
Na hao wazazi nao chenga walioe kwani wao ndo wadhamini
Huyo mwanaume mbona ningemtiririsha
sasa umeambiwa jamaa hakula kitu alipie huduma gani tena? Ndo maana mimi huwa siwez kutumia na demu zaidi ya buku mbili mpaka nikisha mlaza kibra...ingekuwa mi ningedai na riba!Why can"t your friend consider the cash given as tax deductible for the service rendered?
Hahaa I cant imagine the look of har parents!!!!!
kwani walikubaliana nini,hizo pesa alikopa si alitoa mwenyewe
hamna haja hata ya kudai ati
Weeee
Huyo dada alipokea kwa grounds gani? Sumbawanga tutaenda hela lazima irudi, si ningempa dada angu ka sio mkataba? Tena nimekumbuka namimi nidai, tuko wengi