Mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 40

Mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 40

saman

Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Mke mtu mzima namtaka kwa ajili ya ndoa nahidi kumpa mapenzi ya dhati ya kuridhika.mm nina miaka 38 na kazi nzuri tu kwa wanaishi DAR
 
Mum mtu mzima namtaka kwa ajili ya kuishi naye mradi awe na pesa awe mnene na asikose chachandu [shanga] nahidi kumpa mapenzi ya dhati ya kuridhika.mm nina miaka 38 na kazi nzuri tu

Hela zake unazitakia nini?
 
Zinapunguza sitresi ktk mapenzi inabaki kazi moja tu
 
acha ujinga una ngoma nini?hela na mapenzi wapi na wapi?
 
Mhh..hizi genye hizi tena mbaya,hivi mkeo uliye naye anajua?-mimi nakushauri uende FB ukawavizie vident

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hizo hela zake zinatakiwa awe amezipata kwa style gani?hata kama wanaume wenzako walimsaidia kuzitafuta, si useme tu shida yako ni fedha na sio yeye ndio maana umemtaka wa umri huo ambae ameanza kuzichanga siku nyingi
 
sijui ramani ichongwe watu wasipotee potee ovyo...
 
Mum mtu mzima namtaka kwa ajili ya kuishi naye mradi awe na pesa awe mnene na asikose chachandu [shanga] nahidi kumpa mapenzi ya dhati ya kuridhika.mm nina miaka 38 na kazi nzuri tu

Kaka hivi vigezo vyako!!! Akiwa na pesa, chachandu kiunoni, na kaunene wewe kwishney?!!! akiwa na ka UKIMWI je?! Au mbele ya pesa na kaunene si kitu?
 
unafanya nn humu jamii forum utamkosea Mungu halafu ww hujafunga
 
Back
Top Bottom