Mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 40

Mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 40

wewe ndio zako ushindwe na ulegee acha watoto wasome si tunataka hao watu wazima tule maisha dunia tunapita tu
 
kwani atakula pesa lazima tuwape mambo kama walitafuta na mabwana zao sawa tu lkn si hawapo
 
una akili fupi wewe utafanya hayo mambo bila kula kuna maana kubwa hapo sio pesa kama unavyofikiri umesoma wapi!
 
Back
Top Bottom