Mwanamke kifua bwana!!

Mwanamke kifua bwana!!

IMG-20191203-WA0015.jpg
 
Maisha yanakimbia kwa kasi sana, kipindi nabalehe dili ilikuwa ‘English Figure’ mara upepo ukahamia kwenye rangi nyeupe.... sijakaa sawa ikawa chura ndio kila kitu.

Kabla hata sijafaidi vya kutosha hii chura sasa imekuwa kifua, jamani eeh mnatuchosha bhana wafuata upepo.... tunaoumia ni sisi tunaowaamini.

Usiku utapokwisha
 
Huu ushauri niliopewa na best yangu ni wa kitaalam pia

Kujisifia kifuani kwa nyakat hiz ni kupitwa na nyakat,wengi macho yetu yapo Nyuma kwako km huna pita hiv

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Moja ya kitu nilikuwa natamani ni kuwa na ziwa kubwa kubwa hivi lakini nilikuwa najiuliza nalipataje manake nikijiangalia naona sina dalili ya kuyamiliki makubwa nayoyataka until i met this rafiki akanipa mbinu ya kulifanya liongezeke kidogo

Ndio kama hivi sa hivi ninalo hata nikivaa naonekana angalau

Mbinu gani jamani
 
Babu yako Asprin anajua kuwa ziwa lipo?
 
Pusher mnakuwaga real sana, hamjui kupinfidha ukweli..hongera
Moja ya kitu nilikuwa natamani ni kuwa na ziwa kubwa kubwa hivi lakini nilikuwa najiuliza nalipataje manake nikijiangalia naona sina dalili ya kuyamiliki makubwa nayoyataka until i met this rafiki akanipa mbinu ya kulifanya liongezeke kidogo

Ndio kama hivi sa hivi ninalo hata nikivaa naonekana angalau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kifua bwana!!kwangu Mimi ndivyo nionavyo, Msambwanda hata Nyani anao!! Msichana mwenye kifua chenye upana wa wastani, matiti yaliyovimba kiasi, awe mrefu au mfupi, mnene au mwembamba anavutia sana, si hayo tu, hata akibahatika kupata mtoto, bado kifua chake kitaonekana kuwa imara na baba na mwana watafurahia kwa kupokezana kubweda bila kero. Nashangaa ninapoona wavulana na mwanaume wenzangu wanaposhindana kulisifia kalio!! Mnatafuta nini huko!? Nyote mwajua nyuma sio kuzuri kwanini mnakuandama!?

Na wale kidada wanaotembea na kujitingisha nyuma lengo lenu ni nini hasa!!? Tukihamasika mtatupa, unamkuta mdada flat kabisa lakini kajibinua kama kapigwa jeki ili aonekane anakijungu, hamuoni hatari kulitangaza eneo hilo!?Tubadilikeni jamani, mbele ndio halali yetu na ndio nchi SALAMA, nyuma hatari hakufai. (Nb, Samahani sana kwa nitakao wakwaza)
Harrier tako la nyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom