NyotaWaMchezo
Member
- Nov 16, 2013
- 38
- 5
Jana jioni nilikuwa nimekaa na rafiki yangu mmoja kwenye sehemu tulivu tunapata kinywaji huku tukiendelea na maongezi. Akanipa story ya girlfriend wake ambaye alikuwa na kawaida ya kufanya nae mapenzi kwenye guest moja maeneo ya ilala, juzi yule GF wake akakataa kwenda kwenye ile guest house kwa madai kwamba haina mazingira mazuri ndani kitu ambacho anakuwa hayuko comfortable awapo pale so akaomba jamaa atafute guest nyingine yenye mazingira mazuri yaani "self contained".
Jamaa akawa amepuuzia maneno ya GF yake, time ilipofika akampeleka kwenye guest ile ile ya siku zote, GF akagoma kuingia badala yake akamwambia jamaa twende huku, jamaa akamfuata demu akampeleka kwenye guest nyingine ambayo ilikuwa imejificha kidogo na ina mazingira yote ambayo alikuwa anamwambia jamaa atafute.
Sasa jamaa jamaa ana wasi wasi juu ya huyo demu alijuaje mazingira ya ile guest!!