Mwanamke kama huyu nichukue maamuzi gani?

Mkuu, haupaswi kuendekeza upuuzi ambao utakuletea msongo.
Na hapa naon kabisa jinsi unavyo umizwa na kwamba leo ni siku ya mwisho ya weekend, na kesho ni siku ya kazi... Hapa unacho kiwaza ni mwanao atabakije??
Mkuu, mtoto wa miaka 7 ni mkubwa sana, na tayari ametosha umri wa kwenda shuleni, na ikibidi tengeneza utaratibu wa kumtafutia pakushinda baada ya kutoka shuleni na kisha baada ya kazi unampitia.
(Ingekua mimi ndio wewe, ningetafuta spare tyre kwaajiki ya kumtake care mwanangu kila baada ya kutoka shuleni, kisha nami ananifriji bada ya kutoka job huku tukifurahia maisha mimi "mamdogo" na mtoto) Kisha masaa ya jioni tunarejea home taratibu....
I admire your capacity
 
Mtoto akae na mama yake aliyemzaa hadi amalize la saba. Akianza form I anaweza kuja kukaa kwako.

Hapo umemleta mtoto Jehanamu. Tumia akili mzee.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom