Mwanamke kama huyu nichukue maamuzi gani?

Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe, mimi nilikuwa na mpenzi alikuwa anaonyesha kabisa anampenda mwanangu niliyezaa na mdada mwingine, muda mwingine tukienda shopping tumeenda nunua nguo zake anaanza chagua za mwanangu.

Ila sasa ikafika kipindi anaweza niomba kitu nikamwambia kwa sasa sina, anasema angekuwa mwanao ungemwambia hivyo. Yani akawa anashhindana na mtoto mdogo mwenye miaka miwili. Akikuta nimemnunulia nguo ananuna. Nikawa nawaza ikitokea nikamuoa akaishi naye si amani itapotea
 
Mkuu, haupaswi kuendekeza upuuzi ambao utakuletea msongo.
Na hapa naon kabisa jinsi unavyo umizwa na kwamba leo ni siku ya mwisho ya weekend, na kesho ni siku ya kazi... Hapa unacho kiwaza ni mwanao atabakije??
Mkuu, mtoto wa miaka 7 ni mkubwa sana, na tayari ametosha umri wa kwenda shuleni, na ikibidi tengeneza utaratibu wa kumtafutia pakushinda baada ya kutoka shuleni na kisha baada ya kazi unampitia.
(Ingekua mimi ndio wewe, ningetafuta spare tyre kwaajiki ya kumtake care mwanangu kila baada ya kutoka shuleni, kisha nami ananifriji bada ya kutoka job huku tukifurahia maisha mimi "mamdogo" na mtoto) Kisha masaa ya jioni tunarejea home taratibu....
Daah mkuu umeongea kama unaniona mawazoni , kiukweli najitahidi sana Usk huu nataka nisema nae iwe hitimisho asipokaa line kwa kutamka maneno yake kuwa anaridhia nitapiga chini natafuta getto kimya kimya mwezi huu nahama atachanganyikiwa naona hanijui
 
Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe, mimi nilikuwa na mpenzi alikuwa anaonyesha kabisa anampenda mwanangu niliyezaa na mdada mwingine, muda mwingine tukienda shopping tumeenda nunua nguo zake anaanza chagua za mwanangu.
Ila sasa ikafika kipindi anaweza niomba kitu nikamwambia kwa sasa sina, anasema angekuwa mwanao ungemwambia hivyo. Yani akawa anashhindana na mtoto mdogo mwenye miaka miwili. Akikuta nimemnunulia nguo ananuna. Nikawa nawaza ikitokea nikamuoa akaishi naye si amani itapotea
Nawapenda sana hawa wadada lakini kwa mwanangu nitakuwa katiri sana.
 
Piga chini huyo ni shetani
Hapana Mkuuu sio kweli...!! Hakuna kitu kigumu kama mwanamke kuishi na mtoto asiekuwa wakee tena yeye hajapata mtoto wake na pia ndo kwanza wanaanza maishaa kulea yatak moyo. Huyu dada ukute alikuwa tayari lakini sema ukute ndugu washamshauri kwamba asikubali maana akili za wanawake acha tu mkuuu.
 
Daah mkuu umeongea kama unaniona mawazoni , kiukweli najitahidi sana Usk huu nataka nisema nae iwe hitimisho asipokaa line kwa kutamka maneno yake kuwa anaridhia nitapiga chini natafuta getto kimya kimya mwezi huu nahama atachanganyikiwa naona hanijui
Ungekuwa na uwezo ungempeleka mwanao shule ya Boarding maana UKWELI NI KUWA CHINI YA JUA HILI HASA TANZANIA HUWEZI KUPATA MWANAMKE WA KUMLELEA MWANAO WA NJE KWA MOYO MMOJA HAYUPOO KAMWEE.
 
Ungemuacha huyo mtoto kwa Mama yake mzazi then,wewe ungekuwa unatuma matumizi kwa kuwa ninachokifaham ni kuwa mwanamke hawezi kulea mtoto asiye na vinasaba vya undugu na yeye.Huyo mtoto mpeleke kwa mama yake mzazi (kumbuka habari za Sara na Hajiri wake wa Ibrahimu)
Siwezi kumpa mama ake kwa sasa mkuu ndo kaanza shule natakiwa kukaa nae na isitoshe mama ake kakaa nae muda imefikia hatua kaniruhusu na mm nilee nimjengee mtoto future yake!
 
Siwezi kumpa mama ake kwa sasa mkuu ndo kaanza shule natakiwa kukaa nae na isitoshe mama ake kakaa nae muda imefikia hatua kaniruhusu na mm nilee nimjengee mtoto future yake!
Kwani kwa Mama yake hawezi kusoma!??
 
Muda sio mrefu nimetoka kuongea nae anachosema ni hana shida yeyote !

Nimeongea ya kwangu kwa herufi kubwa nimemwachia mtihani!
Ila umeshindwa muuliza huyo dem kwanini kanuna!?
 
Back
Top Bottom