Vijana,acheni kutongoza Wanasiasa,huwa hawatimizi ahadi zao,hapo mtazungushwa na sound hadi uchaguzi ujao bado mtakula sound tu!!Pole mkuu hata mimi napitia hy changamoto na afadhali wew umetema sumu lakini kwangu kila siku ananiahidi lakini ahadi haitimii in short nimeamua kujipa break kwanza ipo siku atanitafuta tu ...so cha msingi hapo wew mwombe afike nyumbani nadhani mambo yatakuw shwari
Kuna aina mbili za kupendwa. Kuna mademu wengine wanaanza kukupenda ukiwapiga mashine. Kwa hiyo jamaa akomae tuJibu ni simple tu hakupendi ila anakuonea huruma as a friend.
Usijidanganye madem wa skuhizi hawana hizo hisia unazodhani ww ukichuna wenzako wanatongoza wanakula ww unajiaminisha atanitafuta utasubiri meli airportMpe muda kweli, mchunie, wala usihangaike kumtafuta, atakutafuta mwenyewe.
Ila inategemea na umri wa mleta mada ukiwa 27+ huna muda wa kuvutana na mwanamke ukiona umefanya part yako mara moja au mbili haelewiki nyanyua mwendo.Kuna aina mbili za kupendwa. Kuna mademu wengine wanaanza kukupenda ukiwapiga mashine. Kwa hiyo jamaa akomae tu
Asubuhi yote hii unawazia mbususu,duh baadhi ya vijana hawa ni wa hovyo sana ndio maana mvua zilikuwa hazinyeshiMwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana
Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu
Lakini kwa njisi ninavyo muona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata
Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi
Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie
Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake
Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi
Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Extrovert njoo mzee baba useme huo ukweli tumsaidie mwanetuMkuu natamani kukwambia ukweli ila dah ngoja nikuache.
Na aje kwa kweliExtrovert njoo mzee baba useme huo ukweli. Tumsaidie mwanetu
Basi ambake..Usijidanganye madem wa skuhizi hawana hizo hisia unazodhani ww ukichuna wenzako wanatongoza wanakula ww unajiaminisha atanitafuta utasubiri meli airport
Itapendeza sanaBasi ambake..