🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dats Ma Mane!!! Good job 👏👏👏👏👏Kwanza unatakiwa uwe "Mwanaume wa shoka" toka mwanzo ili ajue kua wewe ni kidume na sio wakuchezewa hovyo.Mwanamke jeuri anakua kisha kusoma toka mwanzo na kugundua kua wewe ni dhaifu,hua wana test na akiona panaingilika basi anakutawala,siku akikujibu utumbo,piga kofi moja mpaka asikie sauti ya Inzi sikioni,hatorudia tena huyo.
Bebi bana duh🤣🤣🤣 kwahio ukimuudhi mtu makusudi asiposema imekula kwake?Sasa usiposema kuwa umejasirika mimi nitajuaje? Nachukia sana watu wanaojinunisha wakikosewa badala ya kusema. Halafu kuna dhambi gani mwanamke akiamini kuwa anaweza kusimama mwenyewe?
Hapana bebe, kwanza siwezi kumuudhi mtu yeyote kwa makusudi. Pia kuna makosa unaweza ukafanya kwa kutokujua kuwa umemkosea mtu, vilivile kuna ile umekosea unajua mtu amechukulia poa amesamehe juu kwa juu kumbe jitu limenununa hehehe jinunishe mpaka upasuke dadekiBebi bana duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahio ukimuudhi mtu makusudi asiposema imekula kwake?
ubaya mie sinaga mambo ya kuficha hasira ama kumezea kero moyoni. Ndio kuna watu wanasema nina gubu ila ni vile lazma nikuchane ukiniboa.Hapana bebe, kwanza siwezi kumuudhi mtu yeyote kwa makusudi. Pia kuna makosa unaweza ukafanya kwa kutokujua kuwa umemkosea mtu, vilivile kuna ile umekosea unajua mtu amechukulia poa amesamehe juu kwa juu kumbe jitu limenununa hehehe jinunishe mpaka upasuke dadeki
Haswaa huo ndio uanaume ndio maana mimi na wewe ni kifo tu cha kututenganisha bebi [emoji7][emoji7]ubaya mie sinaga mambo ya kuficha hasira ama kumezea kero moyoni. Ndio kuna watu wanasema nina gubu ila ni vile lazma nikuchane ukiniboa.
😍😍😍 together as one & forever bebeHaswaa huo ndio uanaume ndio maana mimi na wewe ni kifo tu cha kututenganisha bebi [emoji7][emoji7]
Mwanamke hakosi wewe punguani.Ndugu zangu.
Unawezaje kudeal na mwanamke Ambaye!
1.Anaweza akakosea yeye, Na kamwe hata usipomuuliza Hawezi kujielezea kwa nini kakosea Hata kama anajua umekasirishwa na makosa yake?
2.Ukijaribu Kumuuliza pia Anajibu Kikaidi ama ndo Anakupiga maneno makali zaidi ya mwanzo.
3. Anayeamini Katika Mawazo yake, na Ana amini Maamuzi yake hayana doa.
4.Anayeamini Anaweza kufanya Mambo yake mwenyewe.
Familia inahitaji Roho ya Chuma.
Ni kweli ulichosema na muhimu mueleze mapema kuwa hivi vitu unavofanya sipendi na siku akifanya unamzaba kofi la maana na akirudia siku nyingine unamzaba tena atarudi tu kwenye reliKwanza unatakiwa uwe "Mwanaume wa shoka" toka mwanzo ili ajue kua wewe ni kidume na sio wakuchezewa hovyo.Mwanamke jeuri anakua kisha kusoma toka mwanzo na kugundua kua wewe ni dhaifu,hua wana test na akiona panaingilika basi anakutawala,siku akikujibu utumbo,piga kofi moja mpaka asikie sauti ya Inzi sikioni,hatorudia tena huyo.
Ukishaolewa au ukishaoa kila kitu mnatakiwa mshirikiane. Ukiona unaanza kujitenga na kuona unaweza kufanya jambo peke yako bila support ya mwenza wako hata ya mawazo au go ahead hilo ni tatizo.Sasa usiposema kuwa umejasirika mimi nitajuaje? Nachukia sana watu wanaojinunisha wakikosewa badala ya kusema. Halafu kuna dhambi gani mwanamke akiamini kuwa anaweza kusimama mwenyewe?
Basi sijamuelewa vizuri mtoa mada alichomaanishaUkishaolewa au ukishaoa kila kitu mnatakiwa mshirikiane. Ukiona unaanza kujitenga na kuona unaweza kufanya jambo peke yako bila support ya mwenza wako hata ya mawazo au go ahead hilo ni tatizo.
Kwa mtazamo wangu mwanamke hadi kufikia kukujibu shit au kukukera bila kuwaza ujue habari yako imeisha.
Umemchekea sana na kashakuona dhaifu juu yake. Dawa ni aidha kumtia mbata kama recovery plan hasa kwa mtu ambaye hutaki au ngumu kumuacha au ku exit uhusiano aende zake akafie mbele huko.
We J wewe, you don't give a second chance?I dont play games na mwanamke wa hivyo mara nyingi akinionyesha jeuri . Namuonesha mlango wa kutokea.
Tena aende wala sifikirii mara mbili.
Naaaam ushauri muruha kabisa huu..Kwanza unatakiwa uwe "Mwanaume wa shoka" toka mwanzo ili ajue kua wewe ni kidume na sio wakuchezewa hovyo.Mwanamke jeuri anakua kisha kusoma toka mwanzo na kugundua kua wewe ni dhaifu,hua wana test na akiona panaingilika basi anakutawala,siku akikujibu utumbo,piga kofi moja mpaka asikie sauti ya Inzi sikioni,hatorudia tena huyo.