Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
unakuta demu mzuri lakini amechanjwa kifuani, na wengine kiunoni> kwanini? mnatutisha wenzenu!
mbona mila zenye maana hawaigi ila kuchanjwa na huo ushirikina waowakiambiwa wasidharau mila za kwao
wewe waelewa vipi?
mbona mila zenye maana hawaigi ila kuchanjwa na huo ushirikina wao