UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
Hahahaha atakua Mnyakyusa, Mmarangu au Mtu wa Mara huyo, tabu tupu, Mie wa kwangu wa Tanga line full raha aiseeee....... (just kidding)
Kaeni zungumzeni na hili la kukaaa na kuzungumza halihitaji kukaa kuwe rasmi, hali inapojitokeza jishushe maana hujaongea ya kwako pia, inawezekana unamtukana sana hata yale ya nguoni something that maybe sio kitu kizuri kwake. Jifunze kumsikiliza, usimhusishe mtu kwenye mambo yako, rafiki yangu mmoja alikua na matatizo kama hayo, akaona mtu wa karibu kumweleza ni ndugu yake wa kuzaliwa, kaka yake mkubwa, ohoooo kaka si akamlamba shemejie, yaani badala ya kusovu ni kajenga bomu kubwa zaid. Hakuna proper formula
ahaahhahaaa Watani zangu hawa bhanammarangu! kafanya nn? labda kikwenukwenu kwani wamarangu tuko poa saaaaaana
Unalipa kodi wewe halafu unatimuliwa,uf.la wa kiwango cha juu sana
ndiyo si ana watoto hapo
Kuwa na watoto ndiyo anitimue,kodi ninalipa mwenyewe!ningekuwa mimi siku nyingi tu nimeshamjeruhi huyo mwanamke na kitu chenye ncha butu
hapo kwa vile ushamjua nenda nae sawa tuu
Hahahaha atakua Mnyakyusa, Mmarangu au Mtu wa Mara huyo, tabu tupu, Mie wa kwangu wa Tanga line full raha aiseeee....... (just kidding)
Kaeni zungumzeni na hili la kukaaa na kuzungumza halihitaji kukaa kuwe rasmi, hali inapojitokeza jishushe maana hujaongea ya kwako pia, inawezekana unamtukana sana hata yale ya nguoni something that maybe sio kitu kizuri kwake. Jifunze kumsikiliza, usimhusishe mtu kwenye mambo yako, rafiki yangu mmoja alikua na matatizo kama hayo, akaona mtu wa karibu kumweleza ni ndugu yake wa kuzaliwa, kaka yake mkubwa, ohoooo kaka si akamlamba shemejie, yaani badala ya kusovu ni kajenga bomu kubwa zaid. Hakuna proper formula
until when my brother coz every day no happy .au in jambo LA cawaida
Kama hukumuokota basi utajua namna ya kumu-handle...
Mvumilie tu kwani ndivyo walivyo wanawake wa karne hii.........