Mwanamke hekima ni muhimu

Mwanamke hekima ni muhimu

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Haya mambo ndio maana sitaki kabisa kujiweka karibu na mambo ya mahusiano na mwanamke kwa sasa maana ni full lawama kama mnadaiana vile[emoji34]
Screenshot_2021-12-17-23-20-14.jpg
 
Hakuna mwanamke mwenye roho ngumu kama mwanamke anayependa pesa au mali

Kuna sehemu nimewahi ona baba mwenye nyumba anaacha kila week 100k lakini madogo wanapiga maharage na huku mwanamke anapewe kila kitu na mzee

Note: Nachojua mwanamme yoyote akipemnda mwanamke ni suala la muda lazima atamhudumia narudia sio kutamani Kupenda
 
Uliwahi kuona wapi mwanamke anaitwa Swaum ambaye si tegemezi?
Ila kweli mkuu umenikumbusha
Kuna rafiki yake na Ex wangu nae alikua anaitwa Swaumu
Yani hata ule uoga wa kwamba mimi ni shem hakakua nao hadi tulikorofishana kisa mizinga.
 
Ila kweli mkuu umenikumbusha
Kuna rafiki yake na Ex wangu nae alikua anaitwa Swaumu
Yani hata ule uoga wa kwamba mimi ni shem hakakua nao hadi tulikorofishana kisa mizinga.
Angalieni na majina siyo mnabeba tu watu kisa wana matundu
 
Mkuu hii ni tozo ya urafiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulipoanza tu mawasiliano baada ya kumuomba namba yake alinipiga mzinga wa kuongezea hela akanunue simu ya smart
Ikawa kero hadi nikaamua nimkache

Sasa juzi hapa kakantafuta nikajua atakua amejiongeza ila ndio kwanza kameeendeleza kalipoishia
 
Ndio mitaa yetu hii mkuu
Temeke mikoroshini[emoji3]
Huko akina Swaumu, Sikitu, Kisa ni kawaida😂😂😂 hao lazma wakusumbue sana!
Hebu sogelea maeneo ya akina Melissa, Joyceline, Brenda, Lily uone namna ambavyo Mungu ni wa ajabu!
 
Back
Top Bottom