Mtambuzi nielewe hivi im incharge of my own life sio dini ,sio mchungaji ,sio shekhe ,sio jamii .mimi binafsi niko incharge ,nikipigwa ndani nakuumizwa na mume wa ndoa ,ninae umia ni mimi wao watanipa pole ,hakuna atakayeweza kuniambia ondoka never ever sasa basi mimi huwa sijali kabisa eti dini itanionaje ???nimefunga ndoa kanisani lakini siamini kama ni kitu kinaweza tie freedom ya maisha na amani ya moyo wangu ,n\ikinishinda naacha Mtambuzi.eti nina watoto ndio nife,jamii itanionaje ndio niteseke hizo jamii,dini,wazazi nk nimewajua nikiwa na akili timamu na nimewajua ukubwani mimi hawanipi shida .nasimamia kile ninachokiamini mpaka nife nikicheka sio roho kukakamaa.nakubaliana na wewe kuwa maisha ya ndoa ni kama bahari labda niseme, maji kupwa maji kujaa, mawimbi na wakati mwingine shwari... Sawa?
Lakini hebu tuseme ndoa imekushinda, yaani ni kwamba bahari imechafuka kiasi cha kuleta gharika, imeacha majeraha makubwa moyoni na hata mwilini na pia imeharibu mazingira yenyewe ya ndoa kiasi kwamba kurekebisha hali hiyo ni ngumu kumeza.
Hapo nakubaliana na wewe juu ya kauli yako hii:
"itakapotokea ndoa imekushinda give up.mimi nasema kuwa sintaupa moyo wangu hata sekunde kusikitika juu ya maamuzi ntakayofanya .nilizaliwa mwenyewe,ntazikwa mwenyewe,iam incharge of my own life ,nikifa ndoa imeishia hapo so ya nini kuitesekea..."
lakini je dini zinasemaje kukusu kuachana?
Je jamii inamchukuliaje mwanamke anayeitelekeza ndoa yake na kujitoa?
Je ndugu na marafiki wana mtazamo gani kuhusu jambo hilo?
Je mwanamke yuko tajari kukabiliana na hali hiyo? Yaani mashinikizo kutoka katika dini, jamii na labda ndugu na marafiki....
Hebu nipe uzoefu wako dada yangu kabla ya kikao chetu cha kahawa leo kujadili business proposal.... Lol
Yeah Chocs wanasema ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze...
Unajua sio kwamba mimi sijui kuwa maisha ya ndoa ni kupanda na kushuka, najua sana, ninachojaribu kuchimba hapa ni kutaka kujua ni kwa nini siku hizi kauli za wanawake wanaojuta kuingia katika ndoa zimekuwa nyingi na wanaotamani kuingia wamekuwa wengi?
Au kwa sababu zamani matatizo ya ndoa mara nyingi yalikuwa yanafichwa lakini siku hizi huwekwa bayana?
Je ni mabadiliko ya kiuchumi na utamaduni ndio chanzo cha mtanziko huo au ni kitu gani hasa...?
Da AshaDii, snowite, @FP, King'asti BADILI TABIA popote mlipo naombeni uzoefu wako katika jambo hili....
Chauro najua hutamani kutoka, lakini naomba tukubaliane kwamba wakati mwingine matatizo ya ndoa yanaweza kukufikisha mahali ujute kuingia katika ndoa.... Si lazima usimame kwenye paa la nyumba upayuke au uende kwa shoga au jirani kulalamika, lakini moyo unauma ndani kwa ndani mpaka unafikia kuwaza hivyo.... Hili linaweza kumtokea mtu yeyote si mwanaume na si mwanamke...Mtambuzi kama yalivo maisha mengine yoyote nje ya ndoa kuna milima na mabonde kwa mie sitamani kutoka.
Natamani sana siku moja nioe, nami niitwe mume nami niite mke, sina matarajio makubwa kwenye ndoa yangu.......just anifulie nguo zangu, anipikie chakula, afanye usafi nyumbani, anipe pale kati, niishi kwa peace.....bhaaaaaaaaaaassssssss sihitaji kingine zaidi!!!!!
mimi sing'anga'nii ndoa kabis aile sio ajira yangu ,hizo ni mapito ya maisha tu so japo ni christian ila aisee ndoa ni kitu kidogo sana katika file la maisha yangu leo hii huyo nlie ndoani nae akisema basi walaaaaaa si argue namwambia weka mahesabu mezani nakunguta vumbi nasonga mbele.there is much time to start afreash even its 80yrs .kutoitake ndoa yangu serious nakufanya yale nahisi ni muhimu katika ndoa kama kumtunza mume,familia na yote yaliyotujumuisha niko makini na sijawahi juta katika maisha yangu toka nimeolewa lakini jua kwamba niko tayari kuiacha kama itaniondolea tone la amani ya moyo wangu.kama halifutikiyour advice is exclusive of christian women. Si ndo wameambiwa wang'ang'anie humo hata iweje (unless ni uzinzi).
I think ukiingiza mungu on this, nothing will be solved. Tena dini zinavyoshikilia mfume dume. Mke akileta ubishi, all scriptures on her!
#source : My parents experience
Nawe unatarajia kumpa nini?
heri yako umesema ukweli.ndani ya ndoa siku huwa hazifanani.ukiamua kuingia humu jiandae kwa yote.Ila ni pazuri zaidi kuliko huko nje mliko.Sijawahi kujutia uamuzi wangu wa kuoa, pamoja na milima na mabonde yaliyopo.Maisha ni kupanda na kushuka kama ilivyo kwa ndoa kuna raha na machungu yake ndo mana wengine wanatamani kuingia na wengine kutoka pamoja na hayo MUNGU amewapa uvumilivu na ndo mana wengine wapo mpaka leo..........kuhusu ndani ya ndoa siwezi kusemea saana coz mengi siyafahamu..
Mtambuzi nielewe hivi im incharge of my own life sio dini ,sio mchungaji ,sio shekhe ,sio jamii .mimi binafsi niko incharge ,nikipigwa ndani nakuumizwa na mume wa ndoa ,ninae umia ni mimi wao watanipa pole ,hakuna atakayeweza kuniambia ondoka never ever sasa basi mimi huwa sijali kabisa eti dini itanionaje ???nimefunga ndoa kanisani lakini siamini kama ni kitu kinaweza tie freedom ya maisha na amani ya moyo wangu ,n\ikinishinda naacha Mtambuzi.eti nina watoto ndio nife,jamii itanionaje ndio niteseke hizo jamii,dini,wazazi nk nimewajua nikiwa na akili timamu na nimewajua ukubwani mimi hawanipi shida .nasimamia kile ninachokiamini mpaka nife nikicheka sio roho kukakamaa.
yaani wewe haya unaita matarajio madogo?
1. Kufuliwa
2. Kupikiwa
3. Kufanyiwa usafi
4. Kupewa pale kati!
Yaani kama ni job description basi appraisal yake lazma iwe kubwa mnooo! Na appraisal iwe mara mbili kwa mwaka. Muulize Teamo akuambie kwi kwi kwi
Na yeye angependa hivi: msaidiane kufua, mkapike pamoja, mpeane kati na muishi kwa amani.Mnaweza mkafurahia sana maisha ya aina hii, but wapita njia wakafikiri umepewa LIMBWATA.Natamani sana siku moja nioe, nami niitwe mume nami niite mke, sina matarajio makubwa kwenye ndoa yangu.......just anifulie nguo zangu, anipikie chakula, afanye usafi nyumbani, anipe pale kati, niishi kwa peace.....bhaaaaaaaaaaassssssss sihitaji kingine zaidi!!!!!
Na yeye angependa hivi: msaidiane kufua, mkapike pamoja, mpeane kati na muishi kwa amani.Mnaweza mkafurahia sana maisha ya aina hii, but wapita njia wakafikiri umepewa LIMBWATA.
Watu wengi wananioa mimi ni ANTI MARRIAGE! But seriously i am not! Its just that Times like these ndoa nyingi zimepoteza maana na kubaki ushahidi!
1. NDOA IS JUST THE BEGINNING!!!!!!!!!! Ingekuwa ndo the end basi ukiolewa game over mbona hata mimi ningekimbilia! Ila ndo mwanzo wa safari usiojua inakoelekea.
2. MARRIAGE IS A GAMBLE!!!!!!! Uchumba huwa fix nyingi, pretending na timing za kutosha ili umpate mtu akuoe au umuoe. Bt in marriage Trela limeisha picha ndo linaanza! Its like GAMBLING YOUR FUTURE! Sasa kwa sie wa Kristu kimbembe ukikosea move imekula kwako! ONE MISTAKE ONE GOAL!
3. Room for oportunity n change! When you are single there is always a room of opportunity ya kumpata mtu mpya wa maana zaidi ya yule wa zamani. Bt with marriage ndo unafunga mahesabu na kufanya conclusion.
4. Hope is Lost. Wansema the last thing any person to loose its HOPE! Ukiwa single there is always hope kuwa mambo yatakaa poa. Bt if ya marriage is not working YOU ARE DOOMED! DONE! FINISHED!
5. Dignity! If ya single u can fu.ck the world and retained your dignity 100%. Bt if ya marrie jst fu.ck 1 man apart from ya husband and ya dignity is soo over! Mumeo hatosahau na kuona it was jst 1 fu.ck for fuc.ks sake, wala jamii haitosamehe milele daima! Plus ukiolewa ukaachika your dinity is way over!!!!!!!!! Hutorudi kwenye status ya single lady, kibongo bongo. Unageuka gumegume lililomshinda mtume, jopo in truth kuna single ladies much much worse than you! Sema ndo hivo tena mambo ya jamii!!!!!!!!
SO I AINT SAYIN DONT MARRY OR SOMETHIN BUT JUST BE SURE WHO YOU ARE MARRYING!!!!!!!!!
heri yako umesema ukweli.ndani ya ndoa siku huwa hazifanani.ukiamua kuingia humu jiandae kwa yote.Ila ni pazuri zaidi kuliko huko nje mliko.Sijawahi kujutia uamuzi wangu wa kuoa, pamoja na milima na mabonde yaliyopo.
Kwa mimi, ninayaona kama maisha yenye amani kuliko maisha ya -u-boyfriend na u-girlfriend.
nina uhakika Mtambuzi wengi wa wanawake ni wajinga sana hasa ukifika suala la ndoa wanakuwa kama mbwa aliyemwona chatu sijui ni hofu ya aibu?hofu ya umaskini? Aibu kwa jamii?? Nawiwa kusema hivi'' kila mtu ana kitu kinachomuingiza kwenye ndoa aliyonayo''!!na hicho ndicho kitampa ugumu au urahisi wa maisha ie.utajiri,mapenzi ya kweli,tamaa,kulazimishwa ,etcnimekuelewa nivea na ninaheshimu msimamao wako...
Ninataka kuwasaidia walioko nje wanaotamani kuingia na walioko ndani wanaotamani kutoka, ni kweli kila mtu anawajibika kwa maisha yake mwenyewe, lakini je ni wanawake wangapi wanye msimamo kama wako....?
Nashukuru mwanangu king'asti yuko ngangari kwani sijawahi letewa mashitaka...
Huyu mwanangu mwingine asnam bado sijakula mahari yangu lakini sina wasiwasi naye najua atachukua tabia za dada yake ila mh kana msimamao kabinti haka mpaka nakaogopa....lol