Ni hatari+++. Hilo kwa mfano ikitokea huku kwetu Umasaini ndani-ndani huku; kama mwanamke aliyethubutu kurudisha hatowahi fasta kukimbia tena kwa mwendo wa spidi ya ngiri, huenda hadithi ikabadilika ikawa nyingine na ya kutisha mno. Kamwe huku wanawake hawathubutu kabisa na sijui kama itakaa itokee. Ni bora mwanamke mhusika aliyekamatika akapiga magoti kwa unyenyekevu mkubwa (huku kichapo kinaendelea) naye anazidi kulia kwa kihoro ""Arasiya bhabhaa, Arasaiya bhaba laii..." yan "nisamehe baba, Nisamehe baba yangu....Nimetubu ...." kuliko arudishe
Nikiwaambia watu mahari ni biashara ya utumwa, hawataki kusikia.Harusiwi kunijibu ama kunirudishia akidhubutu mbata na hakuna chenye atafanya sinimelipa mahari ya milioni 3 nimemnua
Noma kinoma yule anaelindwa na mitutu ya bunduki pia unaweza kumtia mitama au hawa wanyonge wanaosuka mabutu na twende kilioni?Harusiwi kunijibu ama kunirudishia akidhubutu mbata na hakuna chenye atafanya sinimelipa mahari ya milioni 3 nimemnua
Ndo maana wale jamii waliotambua hilo, mahari imebakia ni Hiari au ni kama kusema Shukrani/Asante.Nikiwaambia watu mahari ni biashara ya utumwa, hawataki kusikia.
Hivi yule anayelindwa na mitutu si ameolewa kwa Desturi na Mila za kwao?Noma kinoma yule anaelindwa na mitutu ya bunduki pia unaweza kumtia mitama au hawa wanyonge wanaosuka twende kilioni?
Huku mbele bakuna mahari. Ukileta habari za mahari unaonekana kama unataka kumnunua mtu.Ndo maana wale jamii waliotambua hilo, mahari imebakia ni Hiari au ni kama kusema Shukrani/Asante.
Yule bwana mdogo huwezi kumtia mitama na walinzi wake wanakuangalia jinsi unavyomkanda boss wao huo utakua uongoHivi yule anayelindwa na mitutu si ameolewa kwa Desturi na Mila za kwao?
Nazungumzia pale anapokuwa Faragha na mume wake.Yule bwana mdogo huwezi kumtia mitama na walinzi wake wanakuangalia jinsi unavyomkanda boss wao huo utakua uongo
Yeah. Huwa hilo linaweza kujitokeza katika mojawapo ya vikao vya kuunganisha Familia mbili husika i.e. Familia ya Bwana na Familia ya Mke mtarajiwa.Buku mbele bakuna mahari. Ukileta habari za mahari unaonekana kama unataka kumnunua mtu.
Naam; Mtumbwi hauendi ila kwa Kasia.Vayolenzi