Mwanamke havutiwi na six park zako

Mwanamke havutiwi na six park zako

Wengi mnaponda kuwa kajifanya msemaji wa wanawake ilhali ndo nyinyi haohao kutwa mnasema kuwa wanawake wanahitaji pesa & mtarimbo imara! Je na nyinyi ni wasemaji wao?
 
Nimeshindwa kuelewa point yako nini make title ,head,body na conclusion vinapingana
 
Nimeshindwa kuelewa point yako nini make title ,head,body na conclusion vinapingana
Wanaume wa songea bwana
 
Wanaume tunadhani kwenda gym kutanua misuli basi mwanamke watadata. Tunajitahidi kuwa na six pack ili wanawake wachanganyikiwe na bodybuilding lakini ukweli ni kwamba mwanamke hivyo vyote havimpagawishi.

Ukweli ni kwamba, kiuhalisia mwanamke ni muoga Mara nyingi wanawake hawajiamini. Mwanamke anapenda akiongozana na mwanaume basi huyo mwaanaume awe na uwezo wa kumtetea akionewa. Wanawake hawapendi wanaume waliopoa au waoga hata wakiongozana nawe anakosa amani moyoni maana mwanaume niliye nae ni muoga hato nitetea nikipigwa.

Wanawake wanapenda mwnaume mwenye kujiamini, wanawake wanapenda wakiongozana na mwanaume barabarani wanavutiwa zaidi na mwnaume anayeongea kwa sauti(sio kupayuka) yaani aongee amsikie kwa ufasaha na sio kuuliza sijui umesamaje?

Sababu mwanamke kimaumbile ni muoga wakati mwingine anaogopa kukuuliza, na akishafanya hivyo basi hatofurahia maongezi maana hasikii unachosema. Kwani hujawahi ona unaongea afu mwanamke anatabasamu tu lakini ukimuuliza swali anashtuka kana kwamba mawazo yake hayapo hapo.

Sio ukweli kwamba wanawake huvutiwa na bodybuilding na ndo maana Wanawake wengi huwaogopa bodybuilder. Pengine wanaume tumetafsiri vibaya wanavyotuchukulia ndomana tukakimbilia gym.

Ni kweli wadada wanapenda amani moyoni wakiongozana na waume zao lakini sio lazima mpaka uwe mwili jumba. Mwanamke anaweza kupenda kuongozana nawe kwa ajili ya kujiamini kwako au uongeaji wako au uchangamfu.
5781035b51d7d8af770ea2392fc95b19.jpg
We utakuwa mwanaume wa Dar. Maana ni waoga waoga sana
 
Binafsi sina sixpacks ila siwez bisha mwili wa mwanaume ni vzr ukawa umejengeka, sasa uo ulinz kwa mwanamke utautoaje kama una mwili mbao kama mimi?
 
acha utani mkuu mwanaume alojengeka anavutia mnoo sio ile ya matuta matuta ila ya kukakamaza mwili wacha kabisaaa
 
Mkuu hata avatar yako inaonesha kua unataman ama unapenda mwili jumba.so labda umeona mazoezi huwezi umeamua kwenda kupika kwa uoga wako wa kutopiga tizi.....usiwasemee wadada..over
 
Pesa...Pesa ndio cha muhimu!
Hata upate demu wife material wa kiwango gani ila food, clothes and shelter havikwepeki! Na huvipati hivyo bila PESA
Ndoa nzuri ni matokeo ya uwepo wa hivyo vitatu hapo katika uhakika wa 100% then matokeo ya ndoa nzuri ni family nzuri! Im done....
 
Back
Top Bottom