Mwanamke Hatari!! Ukimgonga tu! lazima uugue..

Kuna njia za kishilikina za kuzuia wanawake,wengine huwa baada ya kuoa wanatabia ya kwenda kuzindika wake zao kwa mazingara ili mwanaume yeyote akigusa tu ameumia au moja kwa moja kwa shetani,njia yenyewe huwa wanaweka wembe kwenye mlango kwa hiyo akipita mwanamke ule wembe unakata chale sehemu za siri kwa mazingara (wahehe wanasema lutambulilo).
 
mkuu huyu wa makanya na naona anataka yeye kuchezea wanaume!
sasa huyu wa masasi yeye hataki amuumize mtu, na anataka sana kuolewa tena.
ndiyo maana kafanya maamuzi ya kuja kwa fundi.

Fundi ni mbuzi bana, anakula majani, ana harisha karanga
 

Vifanyio vimepigwa tarakimu za siri.
 
Sasa yupo mmoja hapa dar ikigonga kazi huna hatakama wewe ni director secretary anakufuta kazi inawezekana na zaidi kuna kazi watu hawafukuzwi kama wajeshi ila akagonga akafutwa jeshi huyo noma
 
Sasa hilo la kuuliza wakati nyinyi wanaume was huko tandahimba NEWALA namikupa mahuta,ni kawaida kurogezea wanawake,umekuwa wepesi kuacha wanawake hasa nanunu mkiacha nyinyi unataka kumkomoa mtoto wa watu hasiolewe tena.
 
Haina tofauti na wanaonatana...Kwa nn umfanyie mwenzio ushenzi wote huu??? Kama mmeachana si basi, tafuta mwingine na muache mwenzio aendelee kufaidi kile ambacho nawe utapata Kwa wengine. Mapenzi si vita.
 

wewe nawe ulipogonga uliugua.
 
Labda ana chronic STD na akiminywa zinaamka zinamletea homa. Aonane na OB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…