Wabongo mbona mnapenda kushauriwa vitu vyepesi namna hii? Unashindwa kuona kwamba ni ile ile kanuni ya ''usitumie fedha kununua mapenzi'' ila imezungumziwa tu kwa mifano? Hii kanuni ya kutotumia fedha kama ndoana wakati wa kutafuta mke/mpenzi mbona inajulikana sana? Fedha zinatumika kwenye ''hit and ran'', yaani unagonga na kukimbia, sasa wewe unavua nguo kabisa unataka kulala hapo hapo, hujui akija mwenye fedha zaidi utafukuzwa?Comrade umeshauri na kutoa ujumbe mzito sana kuhusu mahusiano uchumba na ndoa.
Big up sana umeeleweka vizur sana πͺ
ila huo muonekano unatia kinyaa, unadhoofisha ujumbe huo mzito na kuhamisha mjadala π
achana nao piga Kaz tu...
Umeona upande wa pili wa shilingi. Ni kweli kabisa.Na mwanaume hatakiwi kuvumiliwa akiwa anaanza kutafuta maisha from the scratch, wanawake wengi wana tabia ya kuwavumilia wanaume wakiwa bado wanajitafuta wakiamini kwamba wakifanikiwa watafaidi matunda yao, lakini cha ajabu baada ya hao wanaume kufanikiwa huanza kutafuta sasa wanawake wa type zake ambao walikuwa wanamkataa kipindi masikini
Uko sahihi ComradeMWANAMKE ALIYEPO KWENYE CHANGAMOTO HANA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA UHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
Wanaume wengi tunaingia katika changamoto ya kuwasaidia wanawake kupata mafanikio wayatamanio na baada ya wao kufika kwenye mafanikio haya wanatutema.
Baada ya utafiti wangu wa kina nimegundua kwamba kuna kundi la wanaume wenzangu tumedumbukia kwenye janga la hiyo na hii ni kwa sababu -:
1. Mwanamke akiwa katika changamoto ya mkwamo wa kiuchumi au kukosa ada ya shule ana uwezo wa kufanya lolote ajinasue, atakuwa tayari kufuata maelekezo yako mpaka atakapofanikiwa.
2. Mwanamke akishafanikiwa anatafuta uhuru wa kimahusiano yaani ampate mtu ambaye ni kweli anampa burudisho la nafsi yake.
KIPI ANAKIFANYA AKISHAFANIKIWA
1. Kukudharau na kukuona upo chini ya viwango vyake kimaisha na kielimu.
2. Kutafuta kasoro zote zilizopita huko nyuma na kuziwasilisha upya na hasa kasoro zinazohusu uwezo wa kumudu tendo la ndoa, ili akuondoe kabisa mchezoni asipate mtu wa kumkanya.
NINI MWANAUME UKIFANYE
1. Msaidie mwanamke kwa kiwango chako ambacho hakitakutoa katika uchumi wako, ukiona majukumu yanakuzidi jichomote katika mtego huo mapema
2. Ikitokea mwanamke umemfikisha sehemu na kakukataa "KAUSHA" hakuna mtu humu duniani atakaa upande wako katika kesi ya hivyo, sana sana kuna mwanaume mmoja yeye na kundi lake litaungana na huyo mwanamke na ndugu wa mwanake kumtafutia uhuru.
KITABU CHA SIASA KAZI MAARIFA KITAZUNGUMZIA HAYO
Ndimi
Comrade Ally Maftah
MSHAURI WA NDOAView attachment 2899272
Hatutakiiππtunaanza na mtoa mada kwanzaMjadili mada na si mtoa mada ππππ
Tatizo picha.Mjadili mada na si mtoa mada ππππ
uko sahihi na siriazi sana πMchumba anasomeshwa cherehani tu
Nimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii. Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili (mwanamke na mwanaume). Kwa mwanamke, jitahidi kulipa fadhila kwa anayejitoa kuku-support wakati wowote...www.jamiiforums.com
πππ Nimecheka mbavu zinauma.Hatutakiiππtunaanza na mtoa mada kwanza
ππ Aliona asipoweka picha atasemwa, kaweka bado anasemwa. Mtoa mada kayakanyaga.Tatizo picha.
Wanawake gani sasa unaowaongelea wewe?MWANAMKE ALIYEPO KWENYE CHANGAMOTO HANA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA UHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
Wanaume wengi tunaingia katika changamoto ya kuwasaidia wanawake kupata mafanikio wayatamanio na baada ya wao kufika kwenye mafanikio haya wanatutema.
Baada ya utafiti wangu wa kina nimegundua kwamba kuna kundi la wanaume wenzangu tumedumbukia kwenye janga la hiyo na hii ni kwa sababu -:
1. Mwanamke akiwa katika changamoto ya mkwamo wa kiuchumi au kukosa ada ya shule ana uwezo wa kufanya lolote ajinasue, atakuwa tayari kufuata maelekezo yako mpaka atakapofanikiwa.
2. Mwanamke akishafanikiwa anatafuta uhuru wa kimahusiano yaani ampate mtu ambaye ni kweli anampa burudisho la nafsi yake.
KIPI ANAKIFANYA AKISHAFANIKIWA
1. Kukudharau na kukuona upo chini ya viwango vyake kimaisha na kielimu.
2. Kutafuta kasoro zote zilizopita huko nyuma na kuziwasilisha upya na hasa kasoro zinazohusu uwezo wa kumudu tendo la ndoa, ili akuondoe kabisa mchezoni asipate mtu wa kumkanya.
NINI MWANAUME UKIFANYE
1. Msaidie mwanamke kwa kiwango chako ambacho hakitakutoa katika uchumi wako, ukiona majukumu yanakuzidi jichomote katika mtego huo mapema
2. Ikitokea mwanamke umemfikisha sehemu na kakukataa "KAUSHA" hakuna mtu humu duniani atakaa upande wako katika kesi ya hivyo, sana sana kuna mwanaume mmoja yeye na kundi lake litaungana na huyo mwanamke na ndugu wa mwanake kumtafutia uhuru.
KITABU CHA SIASA KAZI MAARIFA KITAZUNGUMZIA HAYO
Ndimi
Comrade Ally Maftah
MSHAURI WA NDOAView attachment 2899272
Ulitaka asuke nywele zake kama ulivyo suka wwe!!?Mshauri wa ndoa ndo wewe umejipaka ma bleach
Duh!MWANAMKE ALIYEPO KWENYE CHANGAMOTO HANA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAZURI YA UHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
Wanaume wengi tunaingia katika changamoto ya kuwasaidia wanawake kupata mafanikio wayatamanio na baada ya wao kufika kwenye mafanikio haya wanatutema.
Baada ya utafiti wangu wa kina nimegundua kwamba kuna kundi la wanaume wenzangu tumedumbukia kwenye janga la hiyo na hii ni kwa sababu -:
1. Mwanamke akiwa katika changamoto ya mkwamo wa kiuchumi au kukosa ada ya shule ana uwezo wa kufanya lolote ajinasue, atakuwa tayari kufuata maelekezo yako mpaka atakapofanikiwa.
2. Mwanamke akishafanikiwa anatafuta uhuru wa kimahusiano yaani ampate mtu ambaye ni kweli anampa burudisho la nafsi yake.
KIPI ANAKIFANYA AKISHAFANIKIWA
1. Kukudharau na kukuona upo chini ya viwango vyake kimaisha na kielimu.
2. Kutafuta kasoro zote zilizopita huko nyuma na kuziwasilisha upya na hasa kasoro zinazohusu uwezo wa kumudu tendo la ndoa, ili akuondoe kabisa mchezoni asipate mtu wa kumkanya.
NINI MWANAUME UKIFANYE
1. Msaidie mwanamke kwa kiwango chako ambacho hakitakutoa katika uchumi wako, ukiona majukumu yanakuzidi jichomote katika mtego huo mapema
2. Ikitokea mwanamke umemfikisha sehemu na kakukataa "KAUSHA" hakuna mtu humu duniani atakaa upande wako katika kesi ya hivyo, sana sana kuna mwanaume mmoja yeye na kundi lake litaungana na huyo mwanamke na ndugu wa mwanake kumtafutia uhuru.
KITABU CHA SIASA KAZI MAARIFA KITAZUNGUMZIA HAYO
Ndimi
Comrade Ally Maftah
MSHAURI WA NDOAView attachment 2899272
NdiyoUlitaka asuke nywele zake kama ulivyo suka wwe!!?